Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,519
- 94,668
Love u LuciousNtaanzia wap
Love u LuciousNtaanzia wap
Shukrani mkuu kazi kwao wazee Wa kubetTukutane baadae kwenye matokeo ya mechi za leo
Mwisho wa siku anarudi nyumbani hakuna tatizoNawaza tu
Kama aliamua kutekwa why ashindwe kuibiwa
Ooo kuuumbeeeNiaje Nyagei wa Linamo
Ndio dawaChajuuu juu ya chajuu
Hauishii ng'ooKatika zoezi la kupiga picha za vitambulisho vya shule, mpiga picha alimwambia mwalimu mkuu kwamba picha moja ni 500 kwa kila mwanafunzi.. Mwalim mkuu akawaambia walimu wa darasa kuwa wawaambie wanafunzi walete 1000 kila mmoja wao kwa ajili ya picha.. walimu wa madarasa wakawatangazia wanafunzi kuwa kila mmoja alete 1500 kwa ajili ya picha.. watoto wakasema kwa mama zao wao kuwa kuna kupiga picha na gharama ni 2000. Mama sasa kwa baba wa familia.. " Baby hizi shule za siku hizi kwa kupenda pesa.. kuna mchango wa picha 5000 mpenzi wangu mtolee mwanao apate kitambulisho.."
Asa namna hii wizi utaisha Tanzania ?
Atuache na mitumba yetu
Nko poa mumieMi mzima tu nambie tumosa Wa shululu
Sawa mkuu shukrani kwa tetesi but ni muhenga gn labda kwa mfano sio Wa kuigwa?!Tukutane baadae. ..ila kumbuka kuna wahenga wengine sio wa kuigwa ....
![]()
Ila tulizoea hivyo kama njia moja wapo ya kuongeza uwingi mana makapuku ilikuja baada ya waliojiita wakongwe kutoa kauli chafu kwa wasio maalufu.

Mzee emoji
Muhenga PedroSawa mkuu shukrani kwa tetesi but ni muhenga gn labda kwa mfano sio Wa kuigwa?!

Huyo ni mzee Wa kuchapiaUko poa captain
Na zile off side zote alifunga yyKeita pale anawafaa liver kama wanataka kushindana makombe

Kila MTU apambane na hali yakeImebidi nichekee aisee hii hali sio utani kabsaa yani
Kwa sasa hali tete kwa sababu ya kupambana na hii hali tuna isoma namba.
Umepita kwa lege? Mbududa katupiaaNdio dawa
Hapana mii ni mwaka mara chache wewe unaweza maliza thread kwa emonji tuMzee emoji