Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
HeeeHaaaa
Post sent using JamiiForums mobile app
HeeeHaaaa
Post sent using JamiiForums mobile app
La Lee kukataa ww kutuletea nenoPepo lipi tena jamaan
Watuache kwa kweliHivi wanatutaka nini lakini jmaan
Woiiiii mbona midosho na yange yange jamaan ebu watuonee huruma ujueTukivaa za dukani tutang'aa kama yangeyange(in Shunie's voice)
OK poa mlee shululu vizuri mwanaume ni km mtoto anataka malezi atii

Ahahha pepo limeshinda si unaniona leo sijaleta neno mke mweeLa Lee kukataa ww kutuletea neno
Kabisa aisee kila mtu apambane na hali yake wasitupangie kabisaWatuache kwa kweli
Shikamoo babu
Hii morning inaishia saa ngapi Shululu?
acha kumsumbua mume wnguWaelezee wakuelewe vizuri sitaki kuchukiwa mimi
Hiyo wereva nikitu gani?

Hauwezi isha kwa kweliUnaanzaje kwisha sasa kwa mfano??
Uchungu wa mume aujuaye mke![]()
![]()
acha kumsumbua mume wngu
Kama kuridhika kuumbwa dume lazima asumbuke.![]()
![]()
acha kumsumbua mume wngu
We acha tuStory iko patamu sana
Marahaba Mjukuu wangu... Hujambo?Shikamoo babu
Woiiiii mbona midosho na yange yange jamaan ebu watuonee huruma ujue
yange yange hyo inaniachaga hoi we hujui tuSawa mke mweee
Tulikemee kwa kweliAhahha pepo limeshinda si unaniona leo sijaleta neno mke mwee