shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Juve vichaaDau la Chelsea la pauni milioni 88 la kumtaka mshambuliaji wa Juventus Gonzalo Higuain, 29, limekataliwa. (Tuttosport)
Juve vichaaDau la Chelsea la pauni milioni 88 la kumtaka mshambuliaji wa Juventus Gonzalo Higuain, 29, limekataliwa. (Tuttosport)
Katika zoezi la kupiga picha za vitambulisho vya shule, mpiga picha alimwambia mwalimu mkuu kwamba picha moja ni 500 kwa kila mwanafunzi.. Mwalim mkuu akawaambia walimu wa darasa kuwa wawaambie wanafunzi walete 1000 kila mmoja wao kwa ajili ya picha.. walimu wa madarasa wakawatangazia wanafunzi kuwa kila mmoja alete 1500 kwa ajili ya picha.. watoto wakasema kwa mama zao wao kuwa kuna kupiga picha na gharama ni 2000. Mama sasa kwa baba wa familia.. " Baby hizi shule za siku hizi kwa kupenda pesa.. kuna mchango wa picha 5000 mpenzi wangu mtolee mwanao apate kitambulisho.."
Asa namna hii wizi utaisha Tanzania ?

Chajuuu juu ya chajuuKatika zoezi la kupiga picha za vitambulisho vya shule, mpiga picha alimwambia mwalimu mkuu kwamba picha moja ni 500 kwa kila mwanafunzi.. Mwalim mkuu akawaambia walimu wa darasa kuwa wawaambie wanafunzi walete 1000 kila mmoja wao kwa ajili ya picha.. walimu wa madarasa wakawatangazia wanafunzi kuwa kila mmoja alete 1500 kwa ajili ya picha.. watoto wakasema kwa mama zao wao kuwa kuna kupiga picha na gharama ni 2000. Mama sasa kwa baba wa familia.. " Baby hizi shule za siku hizi kwa kupenda pesa.. kuna mchango wa picha 5000 mpenzi wangu mtolee mwanao apate kitambulisho.."
Asa namna hii wizi utaisha Tanzania ?
Theo hauzwiEverton wanapanga kutoa pauni milioni 30 kumtaka mshambuliaji wa Arsenal Theo Walcott. (Sunday People)
Zidane hatakubali aiseeManchester United wanataka Real Madrid imhusishe Toni Kroos katika mkataba wowote wa kumtaka kipa David de Gea. (Daily Mirror)
Usishangae inatokea timu ya Ujerumani au Italy anaprlekwa kwa dau la nyanyaJuve vichaa
Hii komoaa nikukomoeeZidane hatakubali aisee
Let's wait and seeTheo hauzwi
Uko poa captain
Kweli aiseeUsishangae inatokea timu ya Ujerumani au Italy anaprlekwa kwa dau la nyanya
Huyu sijui yupoje ila sioni shida kiungo cha liver mfungaji na beki tatu beki tano tosha kabisa sijui tupoje yani dahLiverpool wanatarajiwa kupanda dau jipya kutaka kumsajili kiungo wa RB Leipzig, Naby Keita, 22 wiki ijayo, baada ya dau la pauni milioni 57 kukataliwa. (Sunday Mirror)
Keita pale anawafaa liver kama wanataka kushindana makombeHuyu sijui yupoje ila sioni shida kiungo cha liver mfungaji na beki tatu beki tano tosha kabisa sijui tupoje yani dah
Kweli usemavyo ila tatizo pesa muhimu azibe kwenye pengo wala sioni tatizo kwenye kiungoKeita pale anawafaa liver kama wanataka kushindana makombe
Vizuri zaidi sana sijui humu hali zenuUko poa captain
Imebidi nichekee aisee hii hali sio utani kabsaa yaniChajuuu juu ya chajuu
Mi mzima tu nambie tumosa Wa shululuMzima lakini
Ahsante sana shem wane
KaribuRATIBA YA MECHI ZA LEO