Makapuku Forum

Makapuku Forum

1.Kama unatumia simu au laptop download na install Application inaitwa Bit torrent au utorrent.

Ukimaliza kuinstall nenda Google andika *kickass torrent* then okay!
Zitakuja page mbali mbali chagua moja imeandikwa *New movie torrent* click then kitatokea kitu kama hiki hapa chini.
270daf4628944c7b2a474a8683ea5b87.jpg

Utaona sehemu ya kusearch,tafuta movie unayotaka then bonyeza mshale wa kudownload.

Over.
Mkuu vipi kiongozi
 
Niah una nia gani lakin?
Nilikula videonge vya kutoingia sasa naona kuna stori za kutatiza sizikumbuki maana nina dementia unajua uzee na vyakula tunavyokula lakini nimesoma. Hamjambo? Kesho ni siku ya wavivukazi lakini wote mtakuwa vitandani. Je mtamkumbukaje mzee wa ukapa aliyetaka kuwapa siku ya kulipiza mkasema hapana sisi hatutaki. Watu bwana\/
 
Una utata mwingi, najua shida yako unazengea damu changa..na hapa umeona youngblood japo ni jina tuu mwenyewe kazeeka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom