Mkuu mimi mwenyewe sijui, ila kwakuwa alikuwa ananisubiri nirudi ni imani yangu kwamba atarudi anieleze kwa kirefu.Youngblood hebu mtambulishe huyu mgeni ni ke au me, tumpangie majukumu naona hayuko free sana
Mimi nikimsemesha anang'ata kidole anakimbia, hivi labda jina lamtatiza nini!Mkuu mimi mwenyewe sijui, ila kwakuwa alikuwa ananisubiri nirudi ni imani yangu kwamba atarudi anieleze kwa kirefu.
Hahaha.Mimi nikimsemesha anang'ata kidole anakimbia, hivi labda jina lamtatiza nini!
Nini tena mkuu.Baba kamfunga mtoto halafu anafurahia
Ndiyo basi tena.Jimena nakumiss uko wapi dada!
Si hawa yangaNini tena mkuu.
Usiseme yanga sema yeboyebo.Si hawa yanga
Kwanini wasema hivyo braza.Aisee huu wimbo mpya wa Baraka da Prince utafikiri ameniimbia mimi.
Haya mashairi yake yanaamsha madudu yaliyo lala zamani.Kwanini wasema hivyo braza.
Naona umaarufu umekuandama braza kwa kutokana na likes ulizonazo.Alikuwa ananisubiri nimerudii sasa.
Unaitwaje vilee?Haya mashairi yake yanaamsha madudu yaliyo lala zamani.
Hahaha.Naona umaarufu umekuandama braza kwa kutokana na likes ulizonazo.
Mkuu nilikuwa naskiaga jina flani zuri sana na lilinivutia kumwona mhusika, ck nilipobahatika kumwona!...sisemi tena...hili jina lina historia acha libaki...kwanza linachuja mbu wengine wasinizoeeHahaha.
Mkuu nakumbuka ulipewa ushauri hapa ubadili jina ukakataa sasa haya ndiyo madhara yake.
Tumemuwezesha asilete kibriNaona umaarufu umekuandama braza kwa kutokana na likes ulizonazo.
HatariiMkuu nilikuwa naskiaga jina flani zuri sana na lilinivutia kumwona mhusika, ck nilipobahatika kimwona!...sisemi tena...hili jina lina historia acha libaki...kwanza linachuja mbu wengine wasinizoee