ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,509
- 57,091
Basi utasubiri sana.Mkuu nilikuwa naskiaga jina flani zuri sana na lilinivutia kumwona mhusika, ck nilipobahatika kumwona!...sisemi tena...hili jina lina historia acha libaki...kwanza linachuja mbu wengine wasinizoee