EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Mimi siumwi hahahaa...Ukweli upi
Mimi siumwi hahahaa...Ukweli upi
Basi sawaMimi siumwi hahahaa...
Aisee.Heeee nilijua police bana
Asa kirefu cha PT ndo nn
AsanteOooh shemu unisalimiapo karoho huburudika, niko poa sana, vp majukumu!
Hata mimi nilijua mlarushwaHeeee nilijua police bana
Asa kirefu cha PT ndo nn
Hatujambo kabisaMarhaba naona wote hamjawa watoto wazuri tangu nichukue vidonge vya kutoingia humu hasa humu namaanisha humu!!!! mmekuwa mkigombana mara hili mara hili Hamjambo lakini????
Shem unacheza na kaz za watuHata mimi nilijua mlarushwa
Hatujambo Grandma.Marhaba naona wote hamjawa watoto wazuri tangu nichukue vidonge vya kutoingia humu hasa humu namaanisha humu!!!! mmekuwa mkigombana mara hili mara hili Hamjambo lakini????
Niah una nia gani lakin?Marhaba naona wote hamjawa watoto wazuri tangu nichukue vidonge vya kutoingia humu hasa humu namaanisha humu!!!! mmekuwa mkigombana mara hili mara hili Hamjambo lakini????
Asante
Kila kitu kwangu ni poa

Tulia wewe acha chokochoko.Ebu nigoogle![]()
![]()
![]()
.Mh!!!Asante
Kila kitu kwangu ni poa
Nashukuru sana kaka.1.Kama unatumia simu au laptop download na install Application inaitwa Bit torrent au utorrent.
Ukimaliza kuinstall nenda Google andika *kickass torrent* then okay!
Zitakuja page mbali mbali chagua moja imeandikwa *New movie torrent* click then kitatokea kitu kama hiki hapa chini.
![]()
Utaona sehemu ya kusearch,tafuta movie unayotaka then bonyeza mshale wa kudownload.
Over.
Nitamkamata siku si nyingi.Shem unacheza na kaz za watu
Poa karibu tena.Nashukuru sana kaka.
Asante shem, ngoja nijaribu kuidownload hiyo movie, naamini itakuwa nzuri sana.First download torrents (utorrent or bitorrent)
Then ingia website ya kickass torrents Hapo andika jina LA muv then download
Hahaha.![]()
tunamsindikiza
Hahaha wala sichezi but hawa pt ni watani zangu tuShem unacheza na kaz za watu