Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shunie? Ni nani huyo?

8025c06e677a06c83541ddc6b7504cd2.jpg
 
Jumamosi Fleva: Jipende Mwenyewe

Ni Jumamosi nyingine tunakutana kwenye muziki na kama kawaida maneno machache muziki unatawala. Hapa KF leo ni muziki wa kileo zaidi na si ule muziki wa wahenga. Ila ujue nini, hata hawa vijana wa leo wanaoniita muhenga jioni hii asubuhi ikifika nao wataitwa wahenga. Maisha ni mzunguko.

Jipende mwenyewe maana ni wewe mwenyewe ndo unajijua, wengine hutoa complimentary tu ila ikifikia kujipenda, jipende mwenyewe kwanza na mengine yatakuja tu. Sisemi kupenda au kupendwa sio muhimu, namaanisha ukijipenda mwenyewe na mwingine atakupenda, usipojikubali hakuna atakayekukubali.

Asante kwa Shunie aunt yangu wewe kwa kuchukua nafasi ya kutupatia sala na maneno ya hekima, unafanya vizuri sana na ninakupenda kama unavyopendwa na wengi. Unalijua hilo, tabasamu maana ndivyo unavyonifanya nitabasamu. Asante sana.

Tuburudike sasa na kwa usiku huu tumwangalie Justin Bieber- Love Yourself (nimesikiza dirty version yake huihitaji hapa) akiperfom live huko Manchester kwenye Tamasha la One maalum kuchangia shirika la Msalaba Mwekundu.

Napenda nione ukinitendea napenda nione ukinibariki napenda nione ukiniinua kila kitu kwako mimi napenda

Napenda nione ukiniponya napenda nione ukinifariji napenda nione ukiniinua kila kitu kwako Bwana mimi napenda

Napenda nione ukinitendea napenda nione ukinibariki napenda nione ukiniinua napenda nione ukinibariki kila kitu kwako mimi napenda

Napenda nikiona ukiniponya napenda nione ukinifariji napenda nione ukiniinua kila kitu kwako Bwana mimi napenda

Napenda x2 kila kitu kwako Bwana mimi napenda
 
Kingamuzi + dish wanatoa bure?
Wameona AzamTv wamechukua wateja ndo wakashusha bei
Hata Azam siku hizi 15k/= mastation kibao tu

Na mpira nafuatiliaga mechi za Man Utd & Yanga tu liwe jua iwe mvua naenda hata kibanda umiza kulipa jero
Mechi za majirani hazinihusu labda iwe mechi muhimu sana

La Liga naangaliaga El Classico na vimechi vichache vyenye umuhimu
..........
Kununua azamu iko juu mbona ...dstv ni 79000...azamu laki na 30.....
 
Jumamosi Fleva: Jipende Mwenyewe

Ni Jumamosi nyingine tunakutana kwenye muziki na kama kawaida maneno machache muziki unatawala. Hapa KF leo ni muziki wa kileo zaidi na si ule muziki wa wahenga. Ila ujue nini, hata hawa vijana wa leo wanaoniita muhenga jioni hii asubuhi ikifika nao wataitwa wahenga. Maisha ni mzunguko.

Jipende mwenyewe maana ni wewe mwenyewe ndo unajijua, wengine hutoa complimentary tu ila ikifikia kujipenda, jipende mwenyewe kwanza na mengine yatakuja tu. Sisemi kupenda au kupendwa sio muhimu, namaanisha ukijipenda mwenyewe na mwingine atakupenda, usipojikubali hakuna atakayekukubali.

Asante kwa Shunie aunt yangu wewe kwa kuchukua nafasi ya kutupatia sala na maneno ya hekima, unafanya vizuri sana na ninakupenda kama unavyopendwa na wengi. Unalijua hilo, tabasamu maana ndivyo unavyonifanya nitabasamu. Asante sana.

Tuburudike sasa na kwa usiku huu tumwangalie Justin Bieber- Love Yourself (nimesikiza dirty version yake huihitaji hapa) akiperfom live huko Manchester kwenye Tamasha la One maalum kuchangia shirika la Msalaba Mwekundu.

Asantee binamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom