Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Umepatia mkuu mana haziishi
Umepatia mkuu mana haziishi
Sio kaswida??Ahahha hakuendeki tena binamu aje aniwekee nyimbo ya christina shusho
Asubuhi nilichungulia nkaona mashikolo mageni nkaondoka bora mbududa akuje tuKule wameanza kuweka screenshot yaan wakiweka hivyo wananivuruga aisee sielewi kitu mke mwee mbududa aje jaman atuwekee season ya 7
Mimi nataka aliyekua anaandika ni binamu sio mmTuwekee jamani acyetaka mmoja ndo atuponze wote,tena anaonekana amejtenga na kanisa huyo
KwannHivi leo ni jpili??
Ni kweliAfadhali.
Mi mwenyewe huwa sioni umuhimu wa hivyo vitu kwenye maisha ya kila siku
Unashangaaa mmemsema mama wa watu na signature yke hadi anaona uvivu kuja hapa
sema haki ya nan
Namtaka shushoSio kaswida??
Sawa mke mweeeNitaenda kumtolea hawezi kutoa
Nimekutana na screenshot kwakweli nimemwambia jaman anatuvurugaAsubuhi nilichungulia nkaona mashikolo mageni nkaondoka bora mbududa akuje tu
Aliyekuwa anaandika ni binamu. ....mm napenda sana make hakuna kitu bila upendo wa MunguHapana mke mwee acha niendelee kujisomea biblia tu mwenyewe sitaki kukwaza mtu mie
Umenikumbusha kitu kilinipi piaLengo la huu uzi halijawahi kuwa kupeana like ilitokea tu kila post ilipata like hivyo kugeuka mazoea
Kwangu mimi ni bora mtu asinipe like ila apost kitu chenye manufaa(kunielimisha,burudisha,chekesha n.k)
Lengo kuu la thread ni kudumisha urafiki na kupeana maarifa...urafiki unadumisha kwa kupiga stori kwa kutaniana,chekeshana n.k
Kupeana like ingekuwa ni lengo letu basi Uzi ungekuwa wa kurundika tu makorokoro a.k.a Dustbin thread
Naomba nisisitize kuanzia sasa mtu yoyote asinipe like ila tu pale atakaoojisikia....
Nina malike 100,000+ na hayajawahi kuwa na faida kwangu
.............
SawaAliyekuwa anaandika ni binamu. ....mm napenda sana make hakuna kitu bila upendo wa Mungu
Ndo maana nakupenda wewe mwanamke ....hunaga kinyongo na mtuSawa
Asante dadake na miminilijua tu pole jamaan kaka angu
Hiiii usitifanyiee hivo jamaniiii wachache wanaowakumbuka wengine kwenye maombi ...na ni vizuri ambao hawaendi kanisani kama binamu Obe wawe wanapata neno hapa...
weka upuuzi pembeni wangu..tuwekee mara tatuu

Nyingine zapendeza sasa ila najitahidi kufanya hivyoAchana nazo bhana uwe unaskip
Na yako tuliyokushoneaaaKweli mke mwee wavae jumapili wakienda kanisani mtu na mjomba ake sare sare mauwa kama yange yange
Mmh manga jamaanUmenikumbusha kitu kilinipi pia