Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
HakikaTwins
HakikaTwins
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kumbe kawa mtawa [emoji134] [emoji134]
Ni mimi inanihusu hii.Na weee skip page bwanaaaaah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha ukorofi nenda kwa bi mdogo
Manga unaquote post za jana khaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni mimi inanihusu hii.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Mtawa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana dingimtoto mie huwa sipendi kumkwaza mtu acha tumsubili mama atakaporudi aendeleeJaman jaman...!! sio usiweke yaan kama ni suprise flani hivi amazing ambayo umefanya
naomba uwe unaweka shemeji uko vizur[emoji122] [emoji122]
Nipo mimiMimi apa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kimeo ipo vizuri
fKuna tatizo kwani T Baba D nilimkuta jukwaa la utambulisho anakalibisha wageni
Wa afya khofu kwakoManga mzima
Ngojaa binamu ajeeeeHakuendekii
Siweki tenaNooooo mwishowe mtaniambiaa zamu yangu
Nenda kamtolee jamaaan tumemmiss wenzieBado mke mwee ukimuona hapa jua ametoa au nikionana nae nitamtolea
Kamanda hutaki kuitwa baba mchungaji, [emoji12]Mimi sitakiiii kwa sasa ....
Sema ukweli. ...Siweki tena
Ni kimeo mi nilie panda ndo najua shemejiSio kimeo ipo vizuri
Hongera sana kwa 240kT wa shululu habari yako
[emoji120] [emoji120] [emoji120] barikiwa sanaAsante mama watoto wangu, ugali ni muhimu kuutafuta maana vijana hawataelewa kabisa