Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Pole mke mweeeHapana mke mwee acha niendelee kujisomea biblia tu mwenyewe sitaki kukwaza mtu mie
Pole mke mweeeHapana mke mwee acha niendelee kujisomea biblia tu mwenyewe sitaki kukwaza mtu mie
Namshkuru Mungu kwa hiloNdo maana nakupenda wewe mwanamke ....hunaga kinyongo na mtu
Afadhali.
Mi mwenyewe huwa sioni umuhimu wa hivyo vitu kwenye maisha ya kila siku, japo sina neno hata mtu akiweka

Ahahha pole tena kakaAsante dadake na mimi
Sijui binamu aliongelea nn make nishamformat kichwa kwa kwenziiiKwann
Asante mke mwee vya kawaida hivyoPole mke mweee
Nasikia kichwa cha mwendawazimu kinacheza huko KirumbaAfadhali.
Mi mwenyewe huwa sioni umuhimu wa hivyo vitu kwenye maisha ya kila siku, japo sina neno hata mtu akiweka
AargghhNyingine zapendeza sasa ila najitahidi kufanya hivyo
NimeigawaNa yako tuliyokushoneaaa
Kuna ile ....amenifanya ning'aree ×2 Yesu ....Namtaka shusho
Kweli mke mwee wavae jumapili wakienda kanisani mtu na mjomba ake sare sare mauwa kama yange yange
hurumia mbavu zangu mke mweee,wang'ae kama yange yange tena wakakae viti vya mbele kabisa
Amina ...barikiwaaNamshkuru Mungu kwa hilo
Kesi imehamia kwa binamu eeehMimi nataka aliyekua anaandika ni binamu sio mm
Tuna copy yakeeeNimeigawa
Haki ya Lee![]()
![]()
![]()
sema haki ya nan
Ndiooo binamu ananiletee balaaaKesi imehamia kwa binamu eeeh