Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Ndio bitoz mwenyewe huyooMgahawa wako huu hapa wewe jamaa..
Wanauza pizza na Burger..
![]()
![]()
Huyo hapo juu sijui ni nani hata..![]()
Ndio bitoz mwenyewe huyooMgahawa wako huu hapa wewe jamaa..
Wanauza pizza na Burger..
![]()
![]()
Huyo hapo juu sijui ni nani hata..![]()
Morning, uko poa mkuu!!!Morning Quigley
Asante kwa kuyapitia ankaliShukrani sana ankali kwa magazeti
Mpaka sasa na mm nina mashaka mbona zile twitter alizifuta zingine alipokuwa maeneo yetuKatua tayari ile ilikuwa fake news kwamba eti kafeli vipimo
Mi nilishindwa kuiamini kabisa
Karibu auntAsante kwa dondoo za kutoka kwenye kurasa za mbele na za mwisho za magazeti yetu ya leo
Niko poa kabisaMorning, uko poa mkuu!!!
KaribuNi matumaini yangu kuwa hamjambo na mmeamka salama kabisa wengine mkiwa na hang over kidogo....
Karibuni sana kwenye leo katika historia ambapo asubuhi ya leo italetwa kwenu nami Jimena Jimenes kwa udhamini mkubwa kabisa wa Usher Rymond huko kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti...
Morning kiongoziiiMorning family
Shem nini tenaaNimejifunzaa
Na weee skip page bwanaaaaahNdio bitoz mwenyewe huyoo
Morning lee, mambo vp?Morning kiongoziii
Karibu mpendwa wa mzee mwenzanguNi matumaini yangu kuwa hamjambo na mmeamka salama kabisa wengine mkiwa na hang over kidogo....
Karibuni sana kwenye leo katika historia ambapo asubuhi ya leo italetwa kwenu nami Jimena Jimenes kwa udhamini mkubwa kabisa wa Usher Rymond huko kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti...
Kwema kiongoziii ...wkend ndo hiyo tayarMorning lee, mambo vp?
Hii editing mkuu
Photo shop mkuu wameedit![]()
Mtu aliefeli vipimo anasaini kweli siamini