Kazaliwa Basel na FC Basel ndo klabu yake iliyomtoa na anatukuzwa balaa
Kachezea pia Rennes na Borrusia Dortmund
Ndiye mfungaji wa muda wote wa timu ya taifa ya Uswis akiwa na goli 42 katika mechi 84 jamaa ana ratio ya 1:2
......
Ni mtandao usio wa wauza sura hivyo waswahili huupotezea na kuzamia Facebook na Install
Nasikia bongo Reginald Mengi anaongoza kwa followers ila JK naye yumo
......
Si unajuaga vile aunt nakupendaga....sitaki ukae nyumban mpaka bibie ashendwe kuleta beki tatu make wewe kila siku upo ...ebu unganeneniii na mr Q bhasiiii