Nimeisikia kwenye maandishi aunt yangu mwenyewe, yaani hasa kwenye korasi unabana na jicho kabisa (well, sio kubana jicho, bali kufumba kabisa ili utamu uusikize)
Dada Sakayo jamaan kama nilivyokwambia jana usiku naomba urudishe avatar uliyotoa hiyo mpya inanitisha jaman ujue mpaka sijalala nilikuwa naiota hiyo avatar jamaan siitaki dada