Makapuku Forum

Kama kawaida fakalava ni mtu wa burudani.

Miaka ya 80' kwenda 90's muziki wa Raggamuffin ulichukua kasi yake, vijana wengi hasa Wajamaica walianza kuuimba lakini kuna baadhi yao waliitwa vichaa wa Raggamuffin.

Shabalanks

Buju Banton

Been Man


Shaggy
 
5/The Rolling Stones
Hili kundi kweli lilikuwa jiwe haswa
Lilianzishwa mnamo mwaka 1962 huko kwa Malkia jijini London
Liliundwa na masela takribani wanne ila maarufu zaidi ni Mick Jagger
Wameimba byimbo kama vile Paint It Black,Angie na Wild Horses
Tamasha lao lijulikanalo kama A Bigger Bang Tour limwweka rekodi ya kuwa tamasha la pili kwa mupiga mpunga mrefu wa Takribani USD 550,000,000
........
 
KUMBUKUMBU.

Pichani ni Sarah Baartman mwanamke kutoka Afrika kusini aliegeuzwa maonesho enzi za utawala wa makaburu. Kutokana na sura na umbo la kibantu alipelekwa Ufaransa na kuwekwa kwenye majumba ya starehe ambako wageni walilipa hela ili wamwangalie akiwa uchi wa mnyama wakimlazimisha atembee ili waone anavyotingisha! Sarah alozaliwa mwaka 1789 alifariki mwaka 1815 akiwa na miaka 26 kutokana na mateso ya kuingiliwa na wanaume wasio na idadi pamoja na muda mwingi kusimama. Baada ya kifo chake alikaushwa na kuhifadhiwa ili aendelee kua kivutio cha utalii. Watetezi wa haki za weusi walikua wanashinikiza Ufaransa iukabidhi mwili huo kwa Afrika kusini ili uzikwe kwa heshima, juhudi zilokujafanikiwa mwaka 2002 chini ya msaada mkubwa wa Nelson Mandela ambapo mwili wa Sarah ulizikwa upya mjini Pretoria kwa heshima zote! .
 
4/Wolfgang Mozart
Huyu alikuwa ni mpiga kinanda sijui piano wa karne ya 18
Alizaliwa mwaka 1756 na kufariki dunia 1791
Jamaa alianza kuandika composition akiwa na umri wa miaka minne tu yaani alianza kujua kuabdika vizuri kuliko kuoga
Tafuta vutu vinavyoitwa The Magic Flute na The Marriage Of Figaro
....
 

Wazungu walipomuja Sauzi walishangaa kuwaona dada na mama zetu walivyojaliwa makalio
Sasa walivyo washenzi wakamchukua Sarah pamoja na mwenzie mmoja au wawili ili kuwapeleka huko Ulaya na wenzao wafaidi
Inaaminika bdiyo mwanamkw mwenye makalio makubwa na uke wenye mashavu makubwa zaidi kuwahi kutokea
Muvi kibao zimechezwa kumuhusu bila kusahau vitabu
......
 
Da aiseee so sad
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…