Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kisa kizurii kinasisimuaa kina mafundisho mazuuuuri ndani yake
Kwenu mabinti kuna cha kujifunza hapoo mi simoo maana nimeshakuwa muhenga
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kisa kizurii kinasisimuaa kina mafundisho mazuuuuri ndani yake
Kwenu mabinti kuna cha kujifunza hapoo mi simoo maana nimeshakuwa muhenga
[emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji14]Silaliagi mkono kati aisee hiyo tabia nishaizoea
Hapana mamamkubwa nimekwambia huwa naporwa mi nataka nisome niwe magufuli wa TanzaniaNaunga mkono hoja. Penseli unapoteza kila siku. Iliyobaki ni kuchunga mbuzi
Kaka kwa code tu
Yule shotii amaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ubarikiwe binamu yangu naomba nyimbo ya christina shusho napenda
Vipi TumooAiseee
CjamboHamjambo?
Ukimuelewa na mie nielewesheYule shotii amaa
YapHahaha
Si ndo ukweli amaa a
Wee[emoji3][emoji3][emoji3] sijawahi kupakuta kumebuma ujue
Inawezekana nimekutangulia, ila hii safari majaribu ni mengi.Ndio nimeingia fakalava Mungu yu mwema [emoji120] natumai na wewe utaingia
Mwenyewe simuelewi ujueKaka kwa code tu
Wiki ijayo naleta sungura. Nani atahudumia? Ukikua tutakupeleka veta. Kuwa rais sio lazima usomeHapana mamamkubwa nimekwambia huwa naporwa mi nataka nisome niwe magufuli wa Tanzania
[emoji3][emoji3][emoji3]jichekee mke mwee life's too short[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaha....Hahaha
Ndo najaribu magazijuto hapoooUkimuelewa na mie nieleweshe
Am glad!Cjambo
Hongera Kakangu
Kweliii dada nikiingia pamechangamka