Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Usololisti unamfaa sanaShunie ni mwana Kwaya.
Usololisti unamfaa sanaShunie ni mwana Kwaya.
Toka nilivyo batizwaHivi umeokoka lini?
Yaishe bhasiwe si mbishiii na mguno wako
Najua dadaNami Nakupenda ujue...
Atakuwa amechokaAhahahhh yaan huyo mumeo
HaleluyaaShunie kaamua kuwa mtumishi
Mr. Loverlover hujambo?Hii tabia ya kulala mwenyewe utaacha lini? Halafu mkono mmoja kati.
Mi nashukuru jana sikumuona



usingelala ujue mie nimekutana nae usiku saa 6Mungu ni mwema kwa kweeliShunie kaamua kuwa mtumishi
AmenHaleluyaa
HahahaMi nashukuru jana sikumuona
Klabu gani?Wale wa klabu Wanalooo
Nimeamua kwenda zangu YouTubeKwanza Malebo You tube haimtambui
Nimefurahi kumwona nrnWale wa klabu Wanalooo
Niliwahi kukwambia kuwa ujiandae kuwa mama Mchungaji, nashukuru unalifanyia kazi.Hapana ni mwana mahubiri fakalava
Hbr ya DomNaaam dada
Silaliagi mkono kati aisee hiyo tabia nishaizoeaHii tabia ya kulala mwenyewe utaacha lini? Halafu mkono mmoja kati.