Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Kwangu yatashindwa kwa jina la Yesu majaribu hayana nafasi kabisaInawezekana nimekutangulia, ila hii safari majaribu ni mengi.
Kwangu yatashindwa kwa jina la Yesu majaribu hayana nafasi kabisaInawezekana nimekutangulia, ila hii safari majaribu ni mengi.
Ahahhh najua mnaelewanaMwenyewe simuelewi ujue
Mama mkubwa unanionea mbona kaka umempeleka bording na mimi nipeleke sungura peleka mikumi kwa watalii kama hutaki nisome mi nahama hapa nyumbaniWiki ijayo naleta sungura. Nani atahudumia? Ukikua tutakupeleka veta. Kuwa rais sio lazima usome
Kumbe una mama humu ndaniMamamkubwa naomba pensel ya kesho tution
Ndio dada ni mama mkubwa wangu na weweKumbe una mama humu ndani
HabariHahaha....
Mtoto wa mama Mchungaji huyoHivi umeokoka lini?
Una bahati basiKweliii dada nikiingia pamechangamka
Naunga magazijuto hapooo...Ahahhh najua mnaelewana
Ahahha ngoja siku nikutane napo pamebumaUna bahati basi
Punguza utundu... Hata veta kuna boarding. Mifugo kwanza..tupate adaMama mkubwa unanionea mbona kaka umempeleka bording na mimi nipeleke sungura peleka mikumi kwa watalii kama hutaki nisome mi nahama hapa nyumbani
Subiria ajibu...
Good girl.Good boy
Poa PoaAhahha ngoja siku nikutane napo pamebuma
Amekimbianaona kaka ameshapotea