fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,033
Kaa mkao wa kutumia, ndiyo nimerudi kutoka Kwenye tafiti ya makinikia nina mpunga mrefu.Ratiba iko sawa, tutoke tu maana hamna namna sasa
[emoji151] [emoji151] [emoji164] [emoji164]
Kaa mkao wa kutumia, ndiyo nimerudi kutoka Kwenye tafiti ya makinikia nina mpunga mrefu.Ratiba iko sawa, tutoke tu maana hamna namna sasa
Sean Paul - Got to love you
Kweli, na hivi lee kakimbia!Si ungekuja tu kwenye kigheto changu
Ungelala kwa utulivu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
Ujenzi wa viwanda mkuu ndio unanipoteza humuMkuu Nyagei kitambo sana, au ndiyo mambo ya makinikia?
Ila mi naipenda sana dunia hivyo sifanyi maandalizi yoyote ya kwenda mbinguni. Nikifa ntazaliwa na kuzaliwa hadi nipate elinghtmentNgekewa wangu, yawezekana hata siku yako ya mwisho utapaa kama Eliya/ Elijah
Nirushie a/c kule mremboNasubiria huo muamala [emoji1] [emoji1]
Mimi na jimena tumetisha tumefanana mwezi mpka tsreheMapacha mko wengi
Uchochezi sasa huu[emoji3] [emoji3] mkuu ulitaka nimtazame au nimfanyaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Ila mi naipenda sana dunia hivyo sifanyi maandalizi yoyote ya kwenda mbinguni. Nikifa ntazaliwa na kuzaliwa hadi nipate elinghtment
Me and my crazy world
Sean Paul - Got to love you
Pambe tuu
[emoji122] [emoji23] [emoji23]Si ungekuja tu kwenye kigheto changu
Ungelala kwa utulivu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
Bila shaka umepatiaVikta kwa kiinglish, naungaunga herufi
Mr anataka nisiishie kukuona.....Hakika
[emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji383]Kaa mkao wa kutumia, ndiyo nimerudi kutoka Kwenye tafiti ya makinikia nina mpunga mrefu.
[emoji151] [emoji151] [emoji164] [emoji164] [emoji160] [emoji160]
Kala mvua ngapi?
Sijambo mpendwa hujanmiss bali tumemisianaAsante ni neno ambalo nitakwambia bila kujiuliza Mara mbili. Nakumiss
Hujambo lakini
Mi hadi sasa ukitaka ujue uwezo wangu wa kudance dj azitendee haki speaker kwa kutupia dance hall za hatariOh yeah hapa kweli wewe ni muhenga mwenzangu.
Hii ndo ile sauti ya mafuamafua unayoipenda. Honestly, nilikuwa najua kudance dancehall sio miziki ya siku hizi mikono juu kama taarabu. Got to love you, asante sana
Mbele ya 100k hata sijivungi[emoji85] [emoji85] [emoji85]Nirushie a/c kule mrembo