Jimena sio dhaifu na anajua kila kitu, isitoshe wew unaona watu wanatongozana kwenye mchezo ukajua ni kweli!
Acha hizo kaka, mimi na jimena ni kaka+dada
Si yameisha mkuu
Me anayenifollow namfollow
Anayelike like namlike
Anayeuchuna nauchuna
Just a simple...haina haja ya kujadili hakuna mjuano me ht mtu akiwa mgeni nampa like zen namcheki km nae hatoi nampotezea tu
Be Peace
.........,......
I Missed you too Mumy weekend ni kali sana kwa pande hizi maana kuna hali ya hewa ya baridi hivi inaleta hamu ya kutandika mambo bila kusikia chochote...Vp pande hizo Adje adje?