manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Senkyuu sirPole madam V.
Sio lazima uamini pia
Mtumishi jambilo amepungukiwa na wokovu hahahaa....Mtumishi nilishasema anahitaji maombi sana ...

Hahahaaa... Usijali braza, hata hivyo nimejuana na miss Valentina siku nyingi kidogo ndo maana matani ya hapa na pale hayaishi.Ok nilidhan mmebaki wawili nikawa naimagine nini kitaendelea iwapo unageuka nyuma, mbele, unakuta hakuna mtu mwingine ni wewe na Valentina tu...Ndiyo maana nilikuwa interest kuona reactn yako pale..
Tena kwa kiwango cha juu sana na ukiangalia wako case zinazofanana mtumish aliachana na Patience123 mkewe ghafla akabadili tabia ila youngblood na yeye baada ya mkewe Nahrene kwenda kijijin na kumacha mwenyewe na yeye ghafla akabadili tabia pia..Mtumishi jambilo amepungukiwa na wokovu hahahaa....
Hasa anaposaidiana na youngblood kuwaita mashemeji zao 'shemdarling'.
![]()
![]()
![]()
Umeshamwombea huyo kijana dhidi ya maladhi yanayomsumbua?Haswaaa
Nimeona kaka.Umeona eee
Huyu mrembo ni wakuchukua na kuweka ndani kisha mwenye atapika.Unaniaibisha bhana!
Unaogopa hotelini!
Asante kwa neno, nimeona katika Zaburi.Bwana hulituma neno lake nalo hututoa katika taabu na shida zetu, pokea uponyaji zaburi 107:20
Ila ni kweli, mara zote wachezaji huwa wachache kuliko watazamaji.Hapana wote tukiwa wachezaji nani watakuwa watazamaji wacha wengine tuwe mashabiki tu..
Pamoja sana madam.Senkyuu sir
Ameaga kabisa kuna uzi katundika kule kwenye mahusiano inaonekana kuna majanga yamemkutatatty anaondoka kwenda wapi tena ambako jf haiko?
Ngoja nkaucheki kwanza.Ameaga kabisa kuna uzi katundika kule kwenye mahusiano inaonekana kuna majanga yamemkuta