Makapuku Forum

Makapuku Forum

Neno la leo
fc8413c7b2908454066afdaa96b74008.jpg
Sijaelewa kabisa, sijui ni akili yangu kuwa ndogo!
 
Hapana Mtumish wewe ukiwa kama mtumish mwenye heshima kubwa na kundi kubwa unalo liongoza haipaswi uwe na utani wa kuwatega haswa hawa dada zetu..Kwan tumeshaambia ni viumbe dhaifu sasa wewe unafanya utani wa kuwatia majaribun..
Jimena sio dhaifu na anajua kila kitu, isitoshe wew unaona watu wanatongozana kwenye mchezo ukajua ni kweli!
Acha hizo kaka, mimi na jimena ni kaka+dada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom