EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Pamoja sana kaka.Ni kweli kabisa mkuu.....
Pamoja sana kaka.Ni kweli kabisa mkuu.....
Hata mimi najua upendo wenu ni wakaka na dada...Jimena sio dhaifu na anajua kila kitu, isitoshe wew unaona watu wanatongozana kwenye mchezo ukajua ni kweli!
Acha hizo kaka, mimi na jimena ni kaka+dada
Si yameisha mkuuPamoja sana kaka.
lunch mumyMakapuku mmeenda leaders?
Ongeza kachumbarilunch mumy![]()

My dear...Baby![]()
![]()
Missed you... Weekend niaje?My dear...
I Missed you too Mumy weekend ni kali sana kwa pande hizi maana kuna hali ya hewa ya baridi hivi inaleta hamu ya kutandika mambo bila kusikia chochote...Vp pande hizo Adje adje?Missed you... Weekend niaje?
jamani wewee..nitupiemo hata kwa pm hako kautam..hihihiMie tena....
Mie niko busy sana kuandaa kitabu kinaitwa Kiguu na njia. Ila humu jf sileti mana nikikatisha mtanoendea hata kwa babu hahahaaaa
Jamani nipike tena!Bado kaka,umeivisha?
Umeona eeeUnauliza kama ameivisha, je kama anataka kukupeleka hotel nzuri kwa ajili ya kupata lunch.
Mtaachiaga na bahati zingine za mtende.
Unaniaibisha bhana!Ha haaa cha kupikiwa home ndio kitamu bana
Ooooh pole sana utapona leoNimeto mapere mwili mzima, dk. kasema allergy ndo nadozika nw.
Bwana hulituma neno lake nalo hututoa katika taabu na shida zetu, pokea uponyaji zaburi 107:20nasubil maombi paroko.
Nameless girl!Mie tena....
Mie niko busy sana kuandaa kitabu kinaitwa Kiguu na njia. Ila humu jf sileti mana nikikatisha mtanoendea hata kwa babu hahahaaaa
Mmh hujawahi agiza mlo kamili wew, twende leo ukaone maajabuCha hotel naona sishibi vizuri kama cha home