Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 13, 2017 #237,561 shululu said: Asante ankali kwa historia bora kabisa Click to expand... My pleasure
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 13, 2017 #237,562 shululu said: Ankali za asubuhi Click to expand... Salama kabisa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 13, 2017 #237,563 torvic said: wadau za asubuhi... Click to expand... Njema tu mambo vp?
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Jul 13, 2017 #237,564 Obe said: Husna mpenzi, BH ni Baada ya Hapo, yaani ni kama vifupisho vya kwenye kemia sijui wanaitaga chemistry Click to expand...
Obe said: Husna mpenzi, BH ni Baada ya Hapo, yaani ni kama vifupisho vya kwenye kemia sijui wanaitaga chemistry Click to expand...
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 13, 2017 #237,565 Bailly5 said: Sina uhakika sana Click to expand... Ni vizuri kwenda kama uko free Mimi sipo dar, lakini ningekuwepo lazima ningeenda
Bailly5 said: Sina uhakika sana Click to expand... Ni vizuri kwenda kama uko free Mimi sipo dar, lakini ningekuwepo lazima ningeenda
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Jul 13, 2017 #237,566 Obe said: Mimi niliziona kwenye TV nikazipenda, kama na wewe una TV angalia utazipenda tu Click to expand...
Obe said: Mimi niliziona kwenye TV nikazipenda, kama na wewe una TV angalia utazipenda tu Click to expand...
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 13, 2017 #237,567 Bailly5 said: MC Gregory anakwambia atapambana mpaka mwisho Click to expand... Hawana lolote hawa Washakubaliana kupiga pesa Usitarajie kuona ngumi jiwe...mi nitajilalia tu kwenye kigheto changu .....
Bailly5 said: MC Gregory anakwambia atapambana mpaka mwisho Click to expand... Hawana lolote hawa Washakubaliana kupiga pesa Usitarajie kuona ngumi jiwe...mi nitajilalia tu kwenye kigheto changu .....
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 13, 2017 #237,568 husna muba said: Click to expand... Mpendwa wa Obe, yuko poa lakini
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Jul 13, 2017 #237,569 Jimena said: Fact Click to expand... Asante kwa kuielewa
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jul 13, 2017 #237,570 Bitoz said: Hawana lolote hawa Washakubaliana kupiga pesa Usitarajie kuona ngumi jiwe...mi nitajilalia tu kwenye kigheto changu ..... Click to expand... Kwahiyo mbwembwe nyingi hawa
Bitoz said: Hawana lolote hawa Washakubaliana kupiga pesa Usitarajie kuona ngumi jiwe...mi nitajilalia tu kwenye kigheto changu ..... Click to expand... Kwahiyo mbwembwe nyingi hawa
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Jul 13, 2017 #237,571 Sakayo said: Ameeen Click to expand...
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Jul 13, 2017 #237,572 Jimena said: Awwwww asanteeee Click to expand... Mkuu mzima?
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jul 13, 2017 #237,573
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Jul 13, 2017 #237,574 Sakayo said: Ataua mtu Click to expand... Hawezi kufanya chochote maana ukweli utabaki kusemwa
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Jul 13, 2017 #237,575 lee empire said: Hii kesi ipo kabisa nje ya mawazo yangu ...binamu ebu fanya kama nahitaji msaada wako sasa bonge huyu ataua mtu .... Zile pesa alishapiga mahesabu atachenjiii dolareeeee.... Kwishaaa habariii yake Click to expand...
lee empire said: Hii kesi ipo kabisa nje ya mawazo yangu ...binamu ebu fanya kama nahitaji msaada wako sasa bonge huyu ataua mtu .... Zile pesa alishapiga mahesabu atachenjiii dolareeeee.... Kwishaaa habariii yake Click to expand...
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 13, 2017 #237,576 torvic said: mdau jichange elfu tatu ukawachek everton... Click to expand... Tatizo ratiba yao mbaya Ingekuwa week end ningeenda Ila leo hata iwe bure siendi ......
torvic said: mdau jichange elfu tatu ukawachek everton... Click to expand... Tatizo ratiba yao mbaya Ingekuwa week end ningeenda Ila leo hata iwe bure siendi ......
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Jul 13, 2017 #237,577 Tumosa said: Ohooo kesi hyo hainihusu Click to expand...
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Jul 13, 2017 #237,578 Tumosa said: Sawa Click to expand...
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Jul 13, 2017 #237,579 shululu said: Click to expand... Shemeji mzima?
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Jul 13, 2017 #237,580 Obe said: Click to expand...