MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,449
- 69,282
Jana application ilikuwa inasumbua sana kwa upande wangu ndio maana nilishindwa kuwepo. Miss u
Miss you too Jimena.
Basi jana nimepuyanga humu peke yangu nasoma thread mbalimbali.
Jana application ilikuwa inasumbua sana kwa upande wangu ndio maana nilishindwa kuwepo. Miss u
The Man of the People
*The River Between
*Things Fall Apart(Chinua Achebe)
*I will Marry When I Want
Navikubali hivyo vitabu
Ngugi noma
...................
Shule yetu vitabu vya fasihi ilokuwa lazima uwe nacho japo kimoja kwenye begi ......Ticha alikuwa mnoko akiingia ni kupigana maswali tu na kusimamishwa usome walau page 1.........Km huwezi unakula mbata za kutosha hii ilitusaidia sana kutisua somo lake1. His Excellency the head of the State.
2. Black Mamba.
3. Betrayal in the city.
4. An Enemy of the people.
5. Lwanda Magere.
6. Weep not, Child.
7. Unanswered Cries.
8. The Biafra Testament.
9. The Song of Lawino and Ocol.
10. The Magic garden.
11. King of Kahel.
Aisee umenikfurahisha sana ndugu yangu, yaaani leo nimeguswa.
Application inanisumbua na mpaka sasa haijakaa sawa hapa nafikiria kuifuta ili niidownload tena labda itakaa sawa.Miss you too Jimena.
Basi jana nimepuyanga humu peke yangu nasoma thread mbalimbali.
The Song of Lawino and Ocol,1. His Excellency the head of the State.
2. Black Mamba.
3. Betrayal in the city.
4. An Enemy of the people.
5. Lwanda Magere.
6. Weep not, Child.
7. Unanswered Cries.
8. The Biafra Testament.
9. The Song of Lawino and Ocol.
10. The Magic garden.
11. King of Kahel.
Aisee umenifurahisha sana ndugu yangu, yaaani leo nimeguswa.
nilikuwa navipenda sanaaaHuyo ticha ningeenda nae sawa kwakweliShule yetu vitabu vya fasihi ilokuwa lazima uwe nacho japo kimoja kwenye begi ......Ticha alikuwa mnoko akiingia ni kupigana maswali tu na kusimamishwa usome walau page 1.........Km huwezi unakula mbata za kutosha hii ilitusaidia sana kutisua somo lake
....................
Application inanisumbua na mpaka sasa haijakaa sawa hapa nafikiria kuifuta ili niidownload tena labda itakaa sawa.
Mi mwenyewe nakonda nikikosa kuwepoFanya kuidownload,
Jukwaa hili bila wewe linadoda sana.
Muongo wwHuyo ticha ningeenda nae sawa kwakweli
Napenda literature sanaMuongo ww
.....................
Kiboko kabisa