Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ya kichina haya
Ya kichina haya
Kapuku Forum, hivi ni vifupi ambavyo ulipaswa uvijue kabla hujapost chochote huku.
Kuna kifupisho kingine BH, afu kuna lee empire , sijui kama ushamuona, ni mjomba wangu
we nae na BH wako
umependa usipopendwaKapuku Forum, hivi ni vifupi ambavyo ulipaswa uvijue kabla hujapost chochote huku.
Kuna kifupisho kingine BH, afu kuna lee empire , sijui kama ushamuona, ni mjomba wangu

Kwangu hiyo mpya mi ninavyoelewa operation hufanyika baada ya jitihada za kujifungua kawaida kushindikanaSwali kwa wanawake;
Cc Shunie na husna muba BlessedHope
Kwanini siku hizi wanawake wengi wanajifungua kwa operation?
NB;
Kuna tetesi zinadai Hospitali za Private zina-influance mtu afanyiwe operation ili wao wapige hela tofauti na hospitali za serikali?
Kujifungua kwa operation Private ni 1.8million hadi 4 milion?
Sasa whats going on behind these? kuna ukweli?
Nikiitupa humu nitakuwa naingia kwa shida maana kompyuta ya ofisi iko kwa bosi
Sitaki kukosa mawasiliano.
Halafu maamuzi magumu hayahusishi kutupa simu. Upendo wakko kwangu nautilia mashaka

KaribuTupo pamoja makapuku wenzangu naomba nipewe wizara ya habari
Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
Weeeee usimseme vibaya binamuwe nae na BH wako
![]()
![]()
umependa usipopendwa
HahahaEndelea kuguna na huo mguno na nilivyo siupendi
Umeonaeeuchungu wa mume aujuaye mke
Africa mashariki kibokoo4/Kenya![]()
Majirani zetu hawa ni watu wa majivuno ila ni wachakarikaji na maisha![]()
Kila kitu chetu kizuri wanadai ni chao ila UKIMWI kweli ni wa kwao !!
Wakenya wapo takribani 48,000,000 na mwaka huu walitegemea kufanya uchaguzi Mkuu
Ukimwi kwao ni janga pia japo wapo vizuri kiuchumi
Wakenya wenye ngoma wapo 1,500,000
........
Tuliza kitovu basi...Wimbo kaombwa mpendwa obe
We kiherehere hicho vepee
HahahaHata me naona dada Mungu azidi kuwaweka nije kucheza kwaito mie
MmmmhTuliza kitovu basi...
Hapana..simjuiUnamjua bae....
Jiandae na ww kumeza hzoWe umejuajee??!!!
OoohHapana..simjui
NdioooAiseee kumbe alimaanisha hivyo
Wengi washaifanya fashion ndo maana mimama mingine haina uchungu na watoto wao shenzi taaaaiiiipuuuu....
