Makapuku Forum

5/Mozambique
Wamakonde pia wamo
Inaonekana tunezungukwa pande zote na nchi zenye UKIMWI
Msumbiji ina idadi ya watu wanaokaribia 30,000,000 ...ni miongoni mwa nchi maskini zaidi duniani
Wenye ngoma wanafikia 1,450,000
........
 
Hakuna ukweli wowote.. Ila baadhi ya wanawake huwa wanataka hizo operation kwa kuogopa maumivu ya uchungu....

Hakuna Doctor anaependa kumpasua mwanamke with no reason, ila wale wenye nasaba bora hufanya kuomba kabisaa
Yaani nina evidence..

Kuna rafiki zangu 3 wemepeleka wake zao private wote wamekula kisu..

2 walienda govt wamejifungua kawaida? Then nikaaza kusikia hizi rumours
 
Na historia inaonesha ukimwi Tanzania ulianzia mipaka ya Uganda na Tanzania ...kagera Bukoba ndo ulipenya ...

Vijiji vya bukoba katika wilaya ya missenyi impacts ni kubwa sana
 
Yaani nina evidence..

Kuna rafiki zangu 3 wemepeleka wake zao private wote wamekula kisu..

2 walienda govt wamejifungua kawaida? Then nikaaza kusikia hizi rumours
Sina uhakika na hilo, hebu waza je pasingekuwa na hiyo hela???? Wengi huwa wanatoka kwenye familia bora, ila pia daktari ndo anaejua hali ya mgonjwa, mpaka aamue ni kisu au la.....

Na ikumbukwe uzazi wa miaka hii umekuwa wa shida mnoo kutokana na Vyakula tunavyokula pamoja na madawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…