Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Ngoja nimpe somo Obe akunyamazishe... Utatulia tu wewe
Nije na vitabu vya kiada au ziada?
Ngoja nimpe somo Obe akunyamazishe... Utatulia tu wewe
TunawakilishaaaAkina wachu na nyinyi hampo nyuma leo
yako wapi binamu hayo mauwa
Shkamo Obe
Naomba wimbo wa Z Antony
Hatari sana7/Uganda![]()
Wangekosekana Waganda ningeandamana !!![]()
Nani hamjui Iddi Amin Dada ? Dikteta orijino na mbabe aliyekuwa analalisha kitambi chake kwa kila mwanamke nzuri aliyemtamani....Alikuwa na furushi la watotohata idadi kamili sijui
Yoweri Museveni anaongoza nvhi yenye idadi ya watu takribani 41,000,000 na kila siku anawaibia kula tu
Waganda waliokanyaga miwaya wanafikia 1,250,000
........
Swali lako linamaanisha hujayaona. Sina haja tena ya kumiliki hii simu




itupe binamuShkamo Obe
Naomba wimbo wa Z Antony
Na mie nakuamkia binamu shikamoo jaman....J5 ni siku nzuri ya kuitikia marhaba, ila sio siku nyingine.
Kijana wa kigamboni huyu, nitautupia muda si mrefu ngoja niibe muda wa baniani kwanza
Nakupenda wewe mwanamke..Taratibu na mume wangu
Mie nakuzimia kabisaaNakupenda wewe mwanamke..
Mimi nimeoza ujue..Mie nakuzimia kabisaa
Ningemzoe Rafiki yake basi kweke ningefikaaa x 2 ( shunie)
Ningezitambua ishara zake mimi kwake ningefikaaa x 2
Ningemzoe Rafiki yake basi kweke ningefikaaa x 2 ( shunie)
Ningezitambua ishara zake mimi kwake ningefikaaa x 2
Ye kakufwa kabisaMimi nimeoza ujue..
Hahaha....J5 ni siku nzuri ya kuitikia marhaba, ila sio siku nyingine.
Kijana wa kigamboni huyu, nitautupia muda si mrefu ngoja niibe muda wa baniani kwanza
DaaaaaahARV zinawanenepesha na kuwapa maisha marefu
Sio km zamani kuharisha km baya,kukohoa km mbuzi,ukurutu n.k
Siku hizi mwenye VVU anaweza kuwa futi kuliko mwenye presha
![]()
![]()
![]()
......