Makapuku Forum

Kuna ukweli na private kuna mda wanakulazimisha kukupiga kisu ili tu wapate hela na ndio mana hospital binafsi nyingi kujifungua kwa operation ni kawaida kwao tofauti na hospital za serikali
 
Hakuna ukweli wowote.. Ila baadhi ya wanawake huwa wanataka hizo operation kwa kuogopa maumivu ya uchungu....

Hakuna Doctor anaependa kumpasua mwanamke with no reason, ila wale wenye nasaba bora hufanya kuomba kabisaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…