Makapuku Forum

Binamu nikupe nini jamaaan
umeufanya usiku wangu uwe mzuri sana binamu

Nakupenda sana binamu nikitaka nyimbo yoyote unaniwekea Mungu azidi kukuweka
na usumbufu wangu huuu nizoee tu mie ndio nilivyo

Naipenda sana hii nyimbo binamu na hiyo band ni band bora kwangu kuliko band zozote binamu si unajua mie kizazi cha dot.com sijakutakuna na bakurutu wala vijana jazz au msondo wala sikinde
 
Nakuunga mkono kwa hili, saa nyingien huwa nawaza huyu anko nilimkosea nini jamani, kumuomba zawadi ya simu tu, ukweli alinipa. Ila sasa simu haina maua, haina chip, yaani haina vingi tu.
Binamu ukipewa zawadi usitoe lawama binamu yangu ata kama kibaya we kichekee tu na asante juu ukiwa peke yako ndio ucheke weeeeh mbavu huna kwa ulichopewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…