Na ukiona mtu anabembeleza penzi huyo naye ni "mtu mdogo"
Ukiona thread inabembeleza watu wapost hiyo pia ni thread ndogo
Ukiona mtu anabembeleza urafiki huyo pia ni "rafiki mdogo"
Shunie, hivi nikuite mara ngapi ili utambue kuwa nilikumiss sana na hata Safari lager ikageuka kuwa chungu huku mvinyo ukichacha.
Nimefurahi kukuona tena (huwa siwasemei wengine, maana kama kama nikikaribishwa msosi wale wa kwa niaba wataambulia kula kwa macho)