Amen[emoji524] MATHAYO 20
32.Yesu Akasimama,akawaita akasema mnata niwafanyie nini?
33.Wakamwambia ,Bwana twataka macho yetu yafumbuliwe.
34.Yesu alawahurumia ,akawagusa macho yao;mara wakapata kuona,wakamfuata
BABA asante kwa somo jioni hii ya leo.
[emoji523] Tunaweza kujiuliza kwanini Yesu aliwauliza swali hili hali akijua ni vipofu?
Ingawa ni vipofu hitaji lao lingeweza lisiwe la kuona.
Nia ya Yesu ni utambue hitaji lako na kulitaja wazi mbele zake.
Sasa YESU anakuuliza nawe,pamoja na kuwa anaifaha mu hali unayopitia lakini anataka kusikia toka kinywa chako,nia yake ni wewe kueleza shida zako kwa kinywa chako na kutaja wazi mbele yake.
Anakuuliza unataka akufanyie nini?
Mwambie hitaji lako sasa,ATAKUSAIDIA.
JIONI NJEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Kwani unga unapitaje ?Unapita wapi? Maana yake nasi tumekubali
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
[emoji2] [emoji2][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Jimena, mimi nawe tumepitia vipindi vinavyofanana, wale watu wametuacha tukiwa bado tuna wahitaji, najua unahitaji mtu sahihi,
Najua unataka furaha inayozidi
Unahitaji wa kukuita lile jina
Nafsi yako yahitaji changamko
Moyo unatamani kusikia neno tamu.
Wakuyafanya haya ni mimi,
Ninaweza Jimena
Unaweza kunifanya mwenye furaha
Upendo hufunika mapungufu hivyo fujo zako sitafunikwa na mapenzi wala haxitanikwaza
Nakupenda eti Jimena[emoji257]
Nashindwa hata niandikeje
Mikono haina nguvu kwa shauku iliyozidi Jimena.
Malizia Jimena wangu.
Mimi nawe tumeona mengi na yametufunza, kilichobaki ni kushikana na KUPENDANA
I LOVE YOU JIMENA[emoji173] [emoji173] [emoji173]
Nukuta kwa NukutaJamaniiii
Hebu tulia usome vizuri
[emoji3] [emoji3]Hahahaha...hongera Mcdonald...mi napenda pizza sana Mdau Bitoz tupe ofa tu bila masharti ya PM.
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ankali hongera kwa 235KAunt ake! Upo
Mkopie [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahaha
Inawezekana ujue... Tatizo mie kiherehere bhana
Awwwww asante uncle. Sikuona kabisaAnkali hongera kwa 235K
Nakuona nakuona[emoji2] [emoji2]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nahisi nna mahaba na avatar yako
[emoji260] [emoji260] [emoji260] [emoji260] [emoji260] [emoji260] [emoji260]
Legalize marijuana
Ok2/G4S PLC
Inamilikiwa na Waingereza na Makao makuu yapo huko
Ndio kampuni kubwa zaidi ya huduma ya Ulinzi duniani, wanalinda ma benki,mahoteli,supermarket n.k
Ina matawi karibia dunia nzima ....nafikiri Kwa hapa bongo mmeshawahi kuona japo gari lao
Kwa mwaka hutia kibindoni zaidi ta USD 13 Billion
Ina wafanyakazi zaidi ya 620,000
........
Ilitokea tu, tena kwa member wengiHahahahaha sasa naona wengi wameziweka ON
Hivi mapenzi huwa yana kipindi cha matazaminio (under probation)Hata kucha nitakusugua, upendo hsuhesabu, nitajitahidi kufanya kila likupendezacho Jimena
Ndiyo hivyo sasaKwani unga unapitaje ?
.....
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Sent from my Motorola bapa using Jf application
Njema pole na majukumu.karibuAmen.....habari ya uzima[emoji257]???
Aisee haaaaahaaaa...maandishi yako nami yamenifanya nijisikie kuumwa, uko wapi nije uniandikie dawa?
[emoji15] Nakuona [emoji4]Nakuona nakuona