Inajazaje na ipo chini ya post?tena line moja tu hapa itafanya watu wawe woga kama hajui kutoa, tuvumiliane kama mimi hapa mpaka watoto warudi wanitolee mtaendelea kuona hivyohivyo,sasa kama mtu hawezi kutoa na hajazoea hapa MAKAPUKU akiona hizi kauli anakimbia,jitahudini kuongea kauli zisizokatisha tamaa,watu tunatofautiana uelewa..........maana anaona aibu na ka TECNO/KAITEL/VODAFONE KAKE,me mnivumilie tu ndio nilizonazo hadi nitakapotoa au kununua Yenye hadhi.