Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Nitajitahidi kupitia control room labda naweza kupata kitu..kitu ilikuwa live sio recorded. haina marudia kama mizengwe.
Usiku mwema kama unalala sasa hivi.
mwenyewe nalala sasa.
Nitajitahidi kupitia control room labda naweza kupata kitu..kitu ilikuwa live sio recorded. haina marudia kama mizengwe.
Usiku mwema kama unalala sasa hivi.
mwenyewe nalala sasa.
Asante sana kwa UF Hadithi pamoja na dondoo za BBCTuwe na siku njemaa wakuu
Habari yako binafsi katibuWakuu kumekucha salama kabisa...soon simulizi na UF bila kusahau dondoo za bbc
Wanaipanda zaidi
AiseeUF. ...![]()
Lukwegho
Hii technology ni hatari sana
Moyo ulibaki na dhamira ile ile