shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Namtania tuJaribu mdau Bitoz uone ,ni ngumu sana kugawa moyo![]()
Muziki wa dansi ushaondoka na wenyeweNi kweli,dunia tunapita..kuna kizazi kitapotea..ndio ilivyo
Pumzika kwa amani Betty FordLeo katika Historia
8/7/2011 - Betty Ford anafariki Dunia.
Alikuwa ni mke wa Rais wa Marekani ndugu Gerald Ford.
Pole mdau Bitoz,inaumiza sana hasa unapokuwa umebanwa na unahitaji hudumaYaani hajuna dawa na zilizopo watu wanapewa dozi nusu nusu
Niliandikiwa dawa 3
Ya kwanza nikapwwa vidonge viwili tu
Ya pili vidonge 6
Ya tatu ndo sikupewa kabisa japo inauzwa 500/= tu
Yaani nilipewa dawa za kutumia Siku moja tu sio kitu cha kawaida
Inabidi mtu uhangaike na hospital kubwa ndo kuna nafuu
.....
Pumzika kwa Amani Kim Il SungLeo katika Historia:
8/7/1994 - Kim Il-Sung. Aliyekuwa Rais wa Korea Kaskazini anafariki Dunia.
Sadam alifuatiliwa sana.Leo katika Historia
8/7/1984 - Kunafanyika Jaribio la kutaka kumuua Rais wa Iraq, Saddam Hussein lakini jaribio hilo linashindikana.
Heri ya siku ya kuzaliwa Robbie KeaneLeo katika Historia
8/7/1980 - Robbie Keane anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka Ireland.
Leo katika Historia
8/7/2011 - Betty Ford anafariki Dunia.
Alikuwa ni mke wa Rais wa Marekani ndugu Gerald Ford.
AhsantePole mdau Bitoz,inaumiza sana hasa unapokuwa umebanwa nabunahitaji huduma
Leo katika Historia:
8/7/1994 - Kim Il-Sung. Aliyekuwa Rais wa Korea Kaskazini anafariki Dunia.
Hongera Marekani kwa kuthamini MwanamkeLeo katika Historia
8/7/1948 - Jeshi la Anga la Marekani laanza kuajiri askari wa kike katika jeshi .
Asante sana kwa historia ubarikiwe kazi yako ni njema Jimena siku njemaNa mpaka hapo basi sina la ziada kutoka kwnye Historia. Jina langu ni Jimena Jimenes. ... Kumbuka tu nilikuwa hapa kwa hisani ya sikukuu ya wakulima ya 7 7
Muwe na week njema na mapumziko mema. Ciao
Leo katika Historia
8/7/1980 - Robbie Keane anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka Ireland.
Hongera Esther,ni mrembo sana..![]()
![]()
![]()
Na wa kwanza kuajiriwa ni Esther McGowin Blake
.......
KabisaMuziki wa dansi ushaondoka na wenyewe
Ni km Bongo movie na Kanumba
.....
Mbaya sana,niliwahi kwenda hospital binafsi niko tight,dawa zipo bima ya afya bei chini,namshukuru Mungu pharmacia ananifahamu akanambia nitop up kiasi pungufu ili nihudumiwe,maana dawa zenyewe ni za kuchoma ,ilibidi nifanye hivyoAhsante
Samtaimu inatia hasira maana unaweza ukawa na bima ya afya mkononi halafu unaambiwa ukanunue dawa utadhani kadi yako ni ua au kitambaa cha kuvutia kwapa
......
I see wanafanana![]()
Ndiye mwasisi wa NK yaani baba wa Taifa![]()
Ndiye babu wa dogo mapanki
Kim ananyoa panki kumuenzi tu na pia kujifananisha na ushujaa/ukatili wa babu yake
Hivyo ukistaahabu panki la mjukuu utaliona panki la babu
......