Makapuku Forum



...siku tatu tu ndo hutoingia humu protesting kutokuonekana kwa shedede , okay.

Na sababu ya kuchagua siku tatu ni Nini? Kwanini isiwe siku moja, mbili , au 7?

Je nikijiaminisha kuwa leo bando lako limeisha hivyo utareload siku tatu nitakuwa nimekosea?

Anyway hata sielewi najiuliza maswali mengi ya nini wakati leo ni Furahiday.
 
 
Humu kuna mtu kapatwa na tatizo au
Mbona sijaelewa maana siku hizi ziingii sana nina ishu imekaba
Nijuzeni hata kwa ufupi tu
.....
Kuna tatizo mdau,Shunie kaaga asubuhi anatoka kwa muda,atarudi..ukweli imetushtua kutokana na mazoea na namna Shunie alivyo mshiriki mzuri,nilitamani kujua sababu hajaiweka wazi kwa mtu yoyote,kila mtu amekua anauliza so tumeona jambo jema tumuombee..kuna wakati mtu anahitaji time alone..imsadie kumpa amani na kuweka mambo yake sawa kiakili,kiroho nk hivyo tuungane kumwombea apate amani..asante
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…