Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Na kwako piaaMkuu heshima yako
Na kwako piaaMkuu heshima yako
Nawe pia mkuuUsiku mwema naingia mihangaikoni nilipita kuwajulia hali na kutoa pole kwa msiba wa kapuku mwenzetu.
Nasubiri majibu yenuHusna asemeee
Hata kama sio police ila rafiki yangu kapotea mazingira tata[emoji4] kwani we ni police?!
Alikuja kuja kidogo banaa badae ndio ikawa jiiiSawa ila utusaidie kumtafuta maana husna alisababisha aache kazi nae kaona hela zimeisha kamwacha Njia panda na hapo ndo hatuja mwona tena
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Jibuni kwanza yuko wapi afande shedede
UbarikiweUcku mwema wapendwa
Pole mkuu[emoji4] [emoji4]Hata kama sio police ila rafiki yangu kapotea mazingira tata
Haifunguki Obe
SawaShemeji achana nao hawatakujibu
Nasubiri jibu hapaAkiwa amejinyonga je, si unajua wale walivyo
SawaShemeji nitasubiri kwa hamu sana
Obe imegoma kufunguka aisee
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Oh, sorry ! Hebu nitaangalia tena settings zangu kwa YouTube nione nilimiss kipi.
Pole, wacha mafundi mitambo waingie kazini
Kwema mkuu habari ya ujenzi wa viwanda?Kwema...?
Kwa nn ulimkataaaAlikuja kuja kidogo banaa badae ndio ikawa jiii
Na mm imenigomeaa
Nitakumbuka sanaHayaa jitahidi usifoget
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Tatizo la kiufundi linashughulikiwa. Pole sana mdau
: Kituo cha huduma kwa wateja KF kinaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwenye Muziki