Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nawe pia mkuuMuwe na usiku mwema wakuu
Nawe pia mkuuMuwe na usiku mwema wakuu
Oh, pole sana mpendwa.Hata kwangu imegomaa
Pamoja mvuviUsiku mwema naingia mihangaikoni nilipita kuwajulia hali na kutoa pole kwa msiba wa kapuku mwenzetu.
SawaAlikuja kuja kidogo banaa badae ndio ikawa jiii
GoodNitakumbuka sana
Itakuwa vizuriOh, pole sana mpendwa.
Sasa kwa kuwa umesema na wewe ngoja niwe serious kufuatilia tatizo

Asante ila pole yako iendane na kumtafuta afandePole mkuu![]()
![]()
Kumbe ni mvuvi?!Pamoja mvuvi
Pole BH, naangalia tena nione namna gani nitakirudia hicho kipindi.Asante Obe ila leo mimi haifunguki
Asante nawe pia Mr TMuwe na usiku mwema wakuu
Asante ila pole yako iendane na kumtafuta afande

Pole mpendwa na kazi ya udjPole BH, naangalia tena nione namna gani nitakirudia hicho kipindi.
Net kwangu inasumbua . Ngoja nione tena
Pole mpendwa na kazi ya udj
Shukrani sana ObeTatizo la kiufundi linashughulikiwa. Pole sana mdau
: Kituo cha huduma kwa wateja KF kinaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwenye Muziki
Ndiooo inakufaa sana...asante. Unaonaje hii kazi inanifaa eeh?

Tatizo la kiufundi linashughulikiwa. Pole sana mdau
: Kituo cha huduma kwa wateja KF kinaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwenye Muziki

Nawe pia ubarikiweMuwe na usiku mwema wakuu