Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Sasa ulivyokuwa unadanganya je?!Hajasemaaaa
Hujui km uongo ni dhambi?!
Sasa ulivyokuwa unadanganya je?!Hajasemaaaa
Nawe piaUcku mwema wapendwa
Sawa Mr Lee ila najua alikuwa mlinzi wako ebu utwambie yuko wapiNitag jibuu
Husna muba mpendwa wa Obe
Akaaaa....nimesema mwenyewe tuBinamu kakwambiaa useme hivo ??
Mwanamke akikuambia utajua kwa nini kigoma mwisho wa reli, ujue kazi imeanzaYeah
Bora umuulize huyo huyooSawa Mr Lee ila najua alikuwa mlinzi wako ebu utwambie yuko wapi
Ndaga itinise kulya maana iswi ishiganite nganiNiswi
Anapajua lakini gamboshi?...nao bila kinyongo wanakusalimia sana🙂
I'm here tell meHusna muba mpendwa wa Obe

Maisha yenyewe mafupiCheka tu shem
Muziki: Wingu Limetanda
Hivi ni mara ngapi kapuku mwenzangu ulishamwambia asante yeyote anayeifanya siku yako kukamilika kwa uzuri kabisa? Najua unatafakari hili maana nami nilikaa na kulikumbuka sana jambo la kushukuru. Unaweza kushukuru kwa namna tofauti, kwa hali na mali, kwa tabasamu na kupeana tano. Vyovyote vile, kutoa shukrani ni jambo la kiungwana na kwa sababu hiyo kwanza kabisa nakusalimia na kisha nashukuru kuwepo hapa. Unapafanya KF pawe sehemu bora kabisa.
Kushukuru, ndo ninachoongelea leo kwa ufupi, jiangalie nywele zako zilivyopendeza, msusi kafanya kazi yake, angalia mikato ya nywele, kinyozi kafanya kazi, angalia kiatu kilivyong'aa, shushaina kachukua muda wake kukiwakisha. Umeenda kula hotel, meza imesafishwa chakula kimekuja kwa wakati na maji umeletewa. Umepanda daladala, bodaboda au express umefika unapoenda. Unakumbuka kuwashukuru hawa watu.
Upande wangu sasa, hata kama huwa siwashukuru kivile lakini nakuambia ukweli kabisa, nikiendaga bakulutu na bendi ipo basi mpiga gitaa, mpiga ngoma, mwimbaji basi watacheka na buku buku au jero au wakipumzika watagonga moja moja watengeneze sauti.
Nimeongelea Bakulutu, machozi yamenijaa usoni hata lee empire mjomba wangu anajua kabisa kuwa Shaaban Dede ambaye ni jirani yake katutoka, ni msiba wa Kitaifa nyimbo zake zinajulikana na wengi. apumzike kwa Amani Shaaban Dede.
Angalia clip hii ni mahojiano yake na star TV enzi hizo mkorogo kwa watangazaji unafanya kazi yake sawasawa
Kumbuka kutip hata kama unalipia huduma ya watu niliowataja pale juu. Naamini unajua kabisa wanacholipwa
Ndio napajuaaaAnapajua lakini gamboshi?
Mwanamke akikuambia utajua kwa nini kigoma mwisho wa reli, ujue kazi imeanza
sometimes inakuwaga mikwara tuNawe pia dada mungu akupe ulinzi wakeUcku mwema wapendwa
Sawa Mr Lee ila najua alikuwa mlinzi wako ebu utwambie yuko wapi

Si ulikuwa unammiriki wewe na amepotelea mikononi mwako tunaomba ututafutieMi sijui
Sina taarifa zake