Makapuku Forum

Nimeshinda salama sana BH wangu, u hali gani wewe ninayekuwaza kila wakati.

Yeah ni Dede Shaaban, sisi wazee wa Bakulutu ni pigo kubwa sana maana kila Ijumaa pale jirani na Bills tulikuwa tunakaa kkuwasikiza na kuburudika
Inaumiza sana..Apumzike kwa Amani...njia yetu ni moja..ni wiki ngumu kwetu ..ila Mungu ndiye msemaji wa yote maana yeye ni mkamilifu..
 
Yy anafikiri unafurahia hajui unaumia,Lee muombe msamaha mama Mchungaji ulichomfanyia mwanae hajapenda kwa kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…