BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
If you can't fight them join them...na wamefanikiwa sana na wanaproducts nyingi..strength ni kuungana
If you can't fight them join them...na wamefanikiwa sana na wanaproducts nyingi..strength ni kuungana
Glory to God..Mungu hawezi kukunyima kila kitu ..kiko kitu ndani ya kila mmoja wetu..ni muhimu kuomba Roho Mtakatifu atuongoze tujue na tutumie kwa utukufu wake.
Marekani inapenda adui wake awe adui wa kila mtu..
Alshabab....Mungu aingilie kati wabadilike
Asante kwa mengineyoNa mengine kama......
Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa asema jaribio la Korea Kaskazini kuzindua makombora ya masafa marefu inawakilisha wingu la mzozo duniani.
Viongozi katika eneo la Mandera nchini Kenya wavituhumu vyombo vya usalama kwa mauaji ya wakazi wa eneo hilo.
Rais wa Rwanda Paul Kagame aushutumu Umoja wa Ulaya kujiingiza katika masuala yanayohusu uchaguzi wa nchi hiyo.
Na kaburi la Mtunzi wa Wimbo wa Taifa wa Uganda lafukuliwa na watu wasio julikana, kukiwa na wasiwasi mabaki ya mwili wake yameiubiwa. ikiwa ni miaka mitano toka kuzikwa kwake.
Asante kwa simulizi...natamani kumjua mr X,na mke wa Husein huenda yu haiTuwe na siku njema ...asante kapuku kwa time yako
![]()
Asantee mama mchungajiAsante kwa simulizi...natamani kumjua mr X,na mke wa Husein huenda yu hai
Asante kwa UF
Asante kwa dondoo za BBC
Asante kwa mengineyo
Siku njema Lee
ISAYA 54
Mpendwa wangu,BWANA MUNGU anasema nasi asubuhi ya leo kumbuka unapoishi kuna changamoto nyingi na maadui wengi,maneno mengi ya kukatisha tamaa,mambo mengi ya kuturudisha nyuma na kutuvunja moyo yote haya Mungu Baba yetu anayajua na anapenda kutukinga nayo ,na hakika atatukinga..jambo la Muhimu kwetu ni kumtegemea yeye na kumuamini na kumuweka yeye kwanza na hapo kila jambo litakingwa naye...silaha zitakazoelekezwa kwetu hazitafanikiwa,maneno mabaya laana mikosi havitatupata kama tukijikabidhi kwake...jikabidhi kwake BABA siku zote za maisha yako upate urithi huu .hii ni Ahadi ya MUNGU kwetu..SHALOM

UbarikiweAsantee mama mchungaji
Amen, Asante kwa neno mama mchungajiBABA asante kutuamsha salama tutakase,tuponye,tuhuishe tupe njia njema ya kukupenda na kukuheshimu..tunajikabidhi mikononi mwako siku ya leo tuondoe katika hatari mbalimbali na ajali mbalimbali..ponya wagonjwa,fariji wafiwa watie moyo waliovunjika moyo.Neema yako yatosha..tunaomba yote katika jina Yesu Amen
MCHANA MWEMA MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
Kumekucha salama, karibu LeeWakuu kumekucha salama kabisa ...Asante mama mchungaji kwa baraka za asubuh japo naona umeifowadiiii mpaka ya mchana![]()
![]()
![]()
Soon SIMULIZI ...UF na dondoo za bbc
Trump buana