AsanteBaada ya kupata UF, hadithi na BBC news, sasa tuangalie vichwa vya habari za magazeti ya leo
MorningMorning all kapuku
Shalom Marnatha...ISAYA 54
17.Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa,na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa.Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA,na haki yao inayotoka kwangu mimi ,asema BWANA.
Mpendwa wangu,BWANA MUNGU anasema nasi asubuhi ya leo kumbuka unapoishi kuna changamoto nyingi na maadui wengi,maneno mengi ya kukatisha tamaa,mambo mengi ya kuturudisha nyuma na kutuvunja moyo yote haya Mungu Baba yetu anayajua na anapenda kutukinga nayo ,na hakika atatukinga..jambo la Muhimu kwetu ni kumtegemea yeye na kumuamini na kumuweka yeye kwanza na hapo kila jambo litakingwa naye...silaha zitakazoelekezwa kwetu hazitafanikiwa,maneno mabaya laana mikosi havitatupata kama tukijikabidhi kwake...jikabidhi kwake BABA siku zote za maisha yako upate urithi huu .hii ni Ahadi ya MUNGU kwetu..SHALOM
![]()
![]()
![]()
Pamoja sana shemejiAsante
Asante LeeTuwe na siku njema ...asante kapuku kwa time yako
![]()
AmeeenBABA asante kutuamsha salama tutakase,tuponye,tuhuishe tupe njia njema ya kukupenda na kukuheshimu..tunajikabidhi mikononi mwako siku ya leo tuondoe katika hatari mbalimbali na ajali mbalimbali..ponya wagonjwa,fariji wafiwa watie moyo waliovunjika moyo.Neema yako yatosha..tunaomba yote katika jina Yesu Amen
MCHANA MWEMA MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
MorningMimi siwezi kulia..
Hope uko poaKumekucha salama, karibu Lee
MorningMorning all kapuku
Sema kwa nini wabunge wasiendane na hali halisi ...na wao tutawachoka sasa
Huyu diwani kiukweli sijui kuna nini mbona wanamfanyia hivoo....
Niko poa kabisa, pande hizo vip wewe na Familia yakoHope uko poa
Kumbe sare za jeshii zilizokamatwa ndo mhusika ??