Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,366
Kule naendaga Jumamos au jumapiliLe samaki tuu ndio mpango mzima hapo..?
Siku hizi umeacha kula Ugali mnafu maeneo ya Makao Mapya eeh?

Ubarikiwe mpendwa wangu asante sana
Amina jirani[emoji524] ZABURI 37
5.Mkabidhi BWANA njia zako pia umtumaini naye atafanya.
[emoji523] Kuna wakati tunafanya mambo na kuamini yatakuwa kwa nguvu zetu,mchana wa leo naomba nikutie moyo kwamba MUNGU yupo kutufanikisha,alituumba kwa makusudi,anatutunza kwa makusudi,anatuepusha na ajali mbali mbalina hatari zote kwa makusudi,anatuponya kwa makusudi maalumu,hata kuwepo hapa MAKAPUKU NI KWA MAKUSUDI...lipo kusudi la Mungu juu ya maisha yetu..TUSIKATE TAMAA..TUMKABIDHI YEYE NJIA ZETU,NA TUMTUMAINI ..KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA...MCHANA MWEMA[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Amen[emoji524] ZABURI 37

Nipo jirani karibuJirani mzima?ulipotea
Jana nimeshinda mitaa ya mahakama kuuNipo jirani karibu
Thalama kibumbu[emoji4]Lee,sakayo,shunie,bitoz,SHIMBA YA BUYENZE,mkongo na makapuku wote heshima kwenu wakuu
My dear, habari za uzima[emoji4] [emoji8] [emoji7][emoji4]
Amen[emoji120][emoji524] ZABURI 37
5.Mkabidhi BWANA njia zako pia umtumaini naye atafanya.
[emoji523] Kuna wakati tunafanya mambo na kuamini yatakuwa kwa nguvu zetu,mchana wa leo naomba nikutie moyo kwamba MUNGU yupo kutufanikisha,alituumba kwa makusudi,anatutunza kwa makusudi,anatuepusha na ajali mbali mbalina hatari zote kwa makusudi,anatuponya kwa makusudi maalumu,hata kuwepo hapa MAKAPUKU NI KWA MAKUSUDI...lipo kusudi la Mungu juu ya maisha yetu..TUSIKATE TAMAA..TUMKABIDHI YEYE NJIA ZETU,NA TUMTUMAINI ..KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA...MCHANA MWEMA[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Napenda samaki na kaugali my dearView attachment 534616
Karibuni cha mchana wapendwa
Mm ugali napenda kula na mboga mbogaNapenda samaki na kaugali my dear
Never dear hapa kati nilitingwa,namshukuru Mungu amenivusha..huwa sikusahau nakuombea sanasana Love you mummy[emoji7] [emoji7]Waoooh tanx ma love,nilishangaa kweli nkasema umenisusaje hny
I seeMbona wamejaa tele
Sema gia zao zinatofautiana
Kuna waganga feki
Madokta feki
Mafundi feki
Wafanyabiashara feki
Madadapoa,
Makakapoa n.k
Kila mtu yupo JF kwa lengo lake...wengine kutafuta pesa kwa halali,wengine umaarufu,wengine likes,wengine kutapeli,wengine kutafuta marafiki,wengine kutafuta wapenzi,wengine kutafuta maarifa,wengine kubadilishana mawazo,wengine kutukana watu,wengine wanatumikia wanasiasa
Wengine wapowapo tu hawana malengo yoyote
JF ni kichaka
.......
Ameeen mamy[emoji524] ZABURI 37
5.Mkabidhi BWANA njia zako pia umtumaini naye atafanya.
[emoji523] Kuna wakati tunafanya mambo na kuamini yatakuwa kwa nguvu zetu,mchana wa leo naomba nikutie moyo kwamba MUNGU yupo kutufanikisha,alituumba kwa makusudi,anatutunza kwa makusudi,anatuepusha na ajali mbali mbalina hatari zote kwa makusudi,anatuponya kwa makusudi maalumu,hata kuwepo hapa MAKAPUKU NI KWA MAKUSUDI...lipo kusudi la Mungu juu ya maisha yetu..TUSIKATE TAMAA..TUMKABIDHI YEYE NJIA ZETU,NA TUMTUMAINI ..KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA...MCHANA MWEMA[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
wewe umesimamia wapi hapo mdauMbona wamejaa tele
Sema gia zao zinatofautiana
Kuna waganga feki
Madokta feki
Mafundi feki
Wafanyabiashara feki
Madadapoa,
Makakapoa n.k
Kila mtu yupo JF kwa lengo lake...wengine kutafuta pesa kwa halali,wengine umaarufu,wengine likes,wengine kutapeli,wengine kutafuta marafiki,wengine kutafuta wapenzi,wengine kutafuta maarifa,wengine kubadilishana mawazo,wengine kutukana watu,wengine wanatumikia wanasiasa
Wengine wapowapo tu hawana malengo yoyote
JF ni kichaka
.......
mmmh! haya buana..View attachment 534616
Karibuni cha mchana wapendwa
Ameni.. Ubarikiwe mama mchuchu[emoji524] ZABURI 37