Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Noted![]()
#TakeItOrLeaveIt#
Noted![]()
#TakeItOrLeaveIt#
Nitalalaje wakat ww upo macho?Poa mydear. Hulali?
Mi nipo jobNitalalaje wakat ww upo macho?
Ahahah ulivyosema nipo mtoni sijui umefikilia nini dadaKwanini sasa
Naona dadaNdo tunaendelea
Sawa sawaRaha nasikia nikiwa kwenye shuka na dada yako tuu
Mi nipo job
Na we lia nae jamaan TDada analia ujue..
Sijui kuna nini?
Mimi siwezi kulia..Na we lia nae jamaan T
Muziki: KKB
Leo napata ugumu kusalimia kwa maneno, tupeane tano ngumu ngumu kuashiria kuwa tumekuwa na siku nzuri kabisa siku ya leo bila kujali nini kilijiri kwa uzuri au ubaya. Nitakuwa faster leo maana mchana mzima beki zimekuwa hazikabi ipaswavyo hivyo imebidi kocha niingie uwanjani dakika za majeruhi angalau kutafuta droo, yeah, sio droo utie nguo na makorokoro bali sare angalau asubuhi staftahi ipatikane.
Ni bahati mbaya sana kusikia member mwenzetu keshakuwa mwendazake (RIP), ndo maisha hayo nasi hatuna cha kuzuia maana ardhi ni kubwa sana, akizikwa yeye si kwamba atatumalizia nafasi, makaburi hayajajaa kutufanya sisi tusife. Inauma sana. Pole kwetu
Sijui ni upepo wa kusi au kasi umepita nami leo nilitaka kuweka nyimbo ya 'kitotototo' yaani kucheza mwanzo mwisho unaelewa huelewi ilimradi tu vyombo vya muziki vinaposikika unajisikia kutingisha mwili na hasa mguu, usitingishe kiuno, bado ni mapema sana na ada zinazidi kupanda kila siku. Sakayo asante kwa uchaguzi huu
Mr Nice na si Mr Noise ndiye atakayetuburudisha leo, sina mengi juu yake maana ukiona Diamond ang'ara leo jua kuwa Mr Nice aliisimamisha Afrika Mashariki na Kati, hakuacha hata kitongoji kimoja katika nchi saba zinazotuzunguka. Wazazi iliwabidi watunge maneno ili kuwaelewesha watoto kuwa kuku akipanda baiskeli ujue anaenda kuchinjwa.
Hadi wakati mwingine. Nakupenda kapuku mwenzangu sababu wewe ni mtu muhimu humu, heshima yako sana
KKB- Kuku kapanda Baiskeli
BABA asante kutuamsha salama tutakase,tuponye,tuhuishe tupe njia njema ya kukupenda na kukuheshimu..tunajikabidhi mikononi mwako siku ya leo tuondoe katika hatari mbalimbali na ajali mbalimbali..ponya wagonjwa,fariji wafiwa watie moyo waliovunjika moyo.Neema yako yatosha..tunaomba yote katika jina Yesu Amen

Ameni kwa sala dada ubarikiweBABA asante kutuamsha salama tutakase,tuponye,tuhuishe tupe njia njema ya kukupenda na kukuheshimu..tunajikabidhi mikononi mwako siku ya leo tuondoe katika hatari mbalimbali na ajali mbalimbali..ponya wagonjwa,fariji wafiwa watie moyo waliovunjika moyo.Neema yako yatisha..tunaomba yote katika jina Yesu Amen
MCHANA MWEMA MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
Aminaaa mama mchungaji ...BABA asante kutuamsha salama tutakase,tuponye,tuhuishe tupe njia njema ya kukupenda na kukuheshimu..tunajikabidhi mikononi mwako siku ya leo tuondoe katika hatari mbalimbali na ajali mbalimbali..ponya wagonjwa,fariji wafiwa watie moyo waliovunjika moyo.Neema yako yatisha..tunaomba yote katika jina Yesu Amen
MCHANA MWEMA MBARIKIWE![]()
![]()
![]()