shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nawe pia, Asante kwa hadithi, UF na BBCTuwe na siku njema ...asante kapuku kwa time yako
![]()
Nawe pia, Asante kwa hadithi, UF na BBCTuwe na siku njema ...asante kapuku kwa time yako
![]()
AmenISAYA 54
17.Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa,na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa.Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA,na haki yao inayotoka kwangu mimi ,asema BWANA.
Mpendwa wangu,BWANA MUNGU anasema nasi asubuhi ya leo kumbuka unapoishi kuna changamoto nyingi na maadui wengi,maneno mengi ya kukatisha tamaa,mambo mengi ya kuturudisha nyuma na kutuvunja moyo yote haya Mungu Baba yetu anayajua na anapenda kutukinga nayo ,na hakika atatukinga..jambo la Muhimu kwetu ni kumtegemea yeye na kumuamini na kumuweka yeye kwanza na hapo kila jambo litakingwa naye...silaha zitakazoelekezwa kwetu hazitafanikiwa,maneno mabaya laana mikosi havitatupata kama tukijikabidhi kwake...jikabidhi kwake BABA siku zote za maisha yako upate urithi huu .hii ni Ahadi ya MUNGU kwetu..SHALOM
![]()
![]()
![]()