Mjomba nakusalimu kwa heshima zote, na ninakushukuru kwa simu isiyokuwa na chip, yaani umenipa simu ofisini kwako kuna Wi-Fi na nyumbani kwako wifi yake Shunie kajaa tele sasa full network sasa leo nimetoka kidogo tu basi hata network hakuna yaani hapa nimekaa ca'fe ndo naandika.
mzima lakini
Leo si zamu yako ....shaka ondoamiss u
Upo mpendwa mpenzi wangu mwenyewe.
Yaani wewe ukiomba wimbo nakuletea album nzima na ukiomba album nakuletea band na ukitaka band nakuletea studio nzima. Sema unataka nini mpendwa
Sawa ila ungeomba ushauri mapema tungekushauri ila kwa kuwa umeingia nikutakie maumivu mema
Unanitafutaakwahiyo umeamua kunichomesha mahindi
Kwani umesahu kauli mbiu yetu ..mwendo wa kukomoana ...na namba zako nimedivert kwangu mwendo wa kusikiliza vioja vyako ...nanyambuaa tu ila kuna moja kiboko ...kumbe keko ulifanikiwa ??Mjomba nakusalimu kwa heshima zote, na ninakushukuru kwa simu isiyokuwa na chip, yaani umenipa simu ofisini kwako kuna Wi-Fi na nyumbani kwako wifi yake Shunie kajaa tele sasa full network sasa leo nimetoka kidogo tu basi hata network hakuna yaani hapa nimekaa ca'fe ndo naandika.
mzima lakini
Goli la 4
MmmmhDooh!
Pole sana mkuu..
Poleni sana wakuu na makapuku kwa Ujumla..
Poa mkuu habari ya kwakoNiaje..
Asante mamiiZipo dawa za kupulizia..inhalers za kuzuia na kupulizia ukibanwa ,ni nzuri sana zinatumika kwa urahisi ,unatembea nazo tu kwenye pochi popote ulipo,hali ikizidi unaenda hospitali lakini ukifuatilia ukweli huhangaiki...ni Asthalin inhaler na Budecort inhaler100 ,pia kuna vidonge unameza kimoja kila usiku kuzuia kubanwa...ni msaada mkubwa..ila ni muhimu kumuona daktari kwanza...kama uko dar niko tayari kukupeleka ...ni muhimu sana ,utakuwa na amani ...
Pole mumie
Asubui nilisemaje?Aisee, kibudu
Asanteee umetukumbusha mbaliMuziki: KKB
Leo napata ugumu kusalimia kwa maneno, tupeane tano ngumu ngumu kuashiria kuwa tumekuwa na siku nzuri kabisa siku ya leo bila kujali nini kilijiri kwa uzuri au ubaya. Nitakuwa faster leo maana mchana mzima beki zimekuwa hazikabi ipaswavyo hivyo imebidi kocha niingie uwanjani dakika za majeruhi angalau kutafuta droo, yeah, sio droo utie nguo na makorokoro bali sare angalau asubuhi staftahi ipatikane.
Ni bahati mbaya sana kusikia member mwenzetu keshakuwa mwendazake (RIP), ndo maisha hayo nasi hatuna cha kuzuia maana ardhi ni kubwa sana, akizikwa yeye si kwamba atatumalizia nafasi, makaburi hayajajaa kutufanya sisi tusife. Inauma sana. Pole kwetu
Sijui ni upepo wa kusi au kasi umepita nami leo nilitaka kuweka nyimbo ya 'kitotototo' yaani kucheza mwanzo mwisho unaelewa huelewi ilimradi tu vyombo vya muziki vinaposikika unajisikia kutingisha mwili na hasa mguu, usitingishe kiuno, bado ni mapema sana na ada zinazidi kupanda kila siku. Sakayo asante kwa uchaguzi huu
Mr Nice na si Mr Noise ndiye atakayetuburudisha leo, sina mengi juu yake maana ukiona Diamond ang'ara leo jua kuwa Mr Nice aliisimamisha Afrika Mashariki na Kati, hakuacha hata kitongoji kimoja katika nchi saba zinazotuzunguka. Wazazi iliwabidi watunge maneno ili kuwaelewesha watoto kuwa kuku akipanda baiskeli ujue anaenda kuchinjwa.
Hadi wakati mwingine. Nakupenda kapuku mwenzangu sababu wewe ni mtu muhimu humu, heshima yako sana
KKB- Kuku kapanda Baiskeli
Nimekuelewa mami nitaitafutaUnapulizia mdomoni unavuta hewa inasaidia kuweka mapafu vizuri na hewa ipite as kwa sasa hali ya hewa hii watu wa pumu wanahangaika sana
Ni changamoto kwa kweeliYaani muda wote wao ni mda wa kucheza bao na draft
Kwani umesahu kauli mbiu yetu ..mwendo wa kukomoana ...na namba zako nimedivert kwangu mwendo wa kusikiliza vioja vyako ...nanyambuaa tu ila kuna moja kiboko ...kumbe keko ulifanikiwa ??
Niko poa kabisa
Poa mkuu habari ya kwako