BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Pale kuna bandiko limeniumiza sana ...alikua anayaona mauti,amesema kuhusu watoto,wazazi,mtarajiwa....kwa uchungu..alikata tamaa kabisa,sijui aliona nini ni vigumu kutafsiri kuna mtu ametoa facebook kaweka pale,nimelia sana[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] wanadamu ni mavumbiMungu saidia icwe kweli,nlivoona bandiko lile roho imenuima nmekosa raha kwa kweli
Tabata unapapenda sanaAhhahahha wazee wa kiingilio kinywaji halaf itakuwa huko tabata kwenu kwetu pazuri
Nakuwaza tu apa na ulivyo pole sanaHata sijui mie... Hii ni mara ya pili kuambiwa hivyo
Nini tena shemelaAhahhah shemela umeanza
Kweliiii shemela si unajua watu ambao hatujazoea kujipodoaAisee
Mazoezi mie ndo mwenyewe.. Vyakula ni kawaida tuu, labda mawazo kwa mbaaaliPole sana,fuatilia kwa karibu na wakwambie vitu vya kufanya hasa vyakula,mazoezi,punguza mawazo
Ahhaah ebu niwekee beer pepo la fanta limetoka
Na sisi hatupendi kujipodoa sema mara moja kwa mwakaMimi sipendi mwanamke anayejipodoa
Entertainment dadaWapi Shunie
Nasubiria bora niangalie HubaZambia 3
Tanzania 1
Tanga rahaJaman sakayo unamsikia kaka alikua kwetu ebu tupe story kaka umejifunza nini kikubwa hawajakung'ang'ania na kukulowekea nguo ili usirudi
My swi[emoji134] [emoji134] [emoji134] nmepita kule nmeona bandiko ila siamini na naogopa kurudi kuangalia tena
MmmmhDada acha tu
PoaEntertainment
Asante mwayaNakuwaza tu apa na ulivyo pole sana
Acha tu mwenyewe pia naambiwa sipatikaniki huku simu ipo on week ijayo narudisha halotel uvivu wangu tu wa kwenda kkooKabisaa yaaani... Mie nina line ya Tigo tena 4g lakini kila ikipigwa hapatikani kabisaa...
Naamu mama watotoBaba watoto[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7]
HahahaNasubiria bora niangalie Huba
[emoji120] [emoji120] [emoji120] tunashukuru kaka BitozKiukweli kifo chake kimenigusa na kwa kutambua mchango wake kwenye thread hii leo hakutakuwa na segment ninazopost wadau maana hata akili hazijatulia
Kila nafsi itaonja mauti
..........
Ahahhaha nataka kuja kuishi huko tuwe majirani shemela utanijibu kuwa upo kibahaTabata unapapenda sana