Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Kabla huja quote like kwanza bhana ni torati yetuWapi tena Mkuu?
Kabla huja quote like kwanza bhana ni torati yetuWapi tena Mkuu?
habari yako baba mchungajiKabla huja quote like kwanza bhana ni torati yetu
Mwaka 1605Hee mbali wapi tena?
Huyu jamaa hawezi kitu kwangu.
Nina mshukuru Muumba mbingu na nchi niko salama, cjui wew mkuuhabari yako baba mchungaji
mm niko salama sana boss,,,,nilijua mtumishi ushapatwa na malasusalization mana naona ulikua jirani sana na mashemejiNina mshukuru Muumba mbingu na nchi niko salama, cjui wew mkuu

Na wewe umeanzisha mfumo wa youngblood kuwaita shemdarling?Kweli kabisaaaa
Miss you shemdarling lizziebettie
Mkuu mwenye mimi anatembea na ufunguo cna ujanja zaidi ya mdomo na macho mkuumm niko salama sana boss,,,,nilijua mtumishi ushapatwa na malasusalization mana naona ulikua jirani sana na mashemeji![]()
![]()
sasa kama mdomo upo basi sio mbaya unakula na kuvunja mifupaMkuu mwenye mimi anatembea na ufunguo cna ujanja zaidi ya mdomo na macho mkuu
Nafurahi kuona uwepo wako mchungaji, kwema lakin??Briz nakusabahi
Na kwako pia braza, ulale salama.Usiku mwema wakuu.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hajarudi tena braza mpaka waleo, jamaa anaendelea kusubiri kama Wakristo wanavyomngojea Yesu Mwokozi kwamba atarudi.Mkuu EMMYGUY hivi huyu Nahrene ndo tangu alivyopotea kipindi kile ndo hadi leo hajaibukia humu?

Acheni kelele mnasumbua waliolala.
Asante shem kwa kumpa ukweli huyu jamaa maana ameathirika kwa ugonjwa wa kuachwa.We kijana unaumwa wivu.
miss chaggaAnaitwa nani vilee?
Tena kaathirika vibayaAsante shem kwa kumpa ukweli huyu jamaa maana ameathirika kwa ugonjwa wa kuachwa.