Makapuku goodnight and be blessed. Mpenzi wangu na mimi, tunawapenda sana.Ndio tukalale dear
Usijal shemdarling.Uwe unatoa kidogo kidogo kila siku muda kama huu
Enhee share with us![]()
Usiku mwema ninyi wote wawili. Kesho pia ni siku.Makapuku goodnight and be blessed. Mpenzi wangu na mimi, tunawapenda sana.
Na kwako pia bro.usiku mwema wadau
Thanks brother.Usiku mwema ninyi wote wawili. Kesho pia ni siku.
Ukiangalia kwa nguvu utatuona vizuri.Mi nawacheki tu kwanza 🙁
Lala wewe.Na huyo naye ni shemdarling tena?
![]()
![]()
Together as one brother.Thanks brother.
Karibu sana bado hujachelewa... Upo tayari lakini kutulindia likes zetu humu usiku wa leo?Sijui nilikuwa wapi nimechelewa, Hodiii
Avata yako mkuu....Mtalalaje mapema yote hii nyie mnaoaga?
Wachovu sana hawa watoto.Mtalalaje mapema yote hii nyie mnaoaga?
Hujachelewa mkuu karibu sanaSijui nilikuwa wapi nimechelewa, Hodiii
Pamoja mkuuKaribu sana bado hujachelewa... Upo tayari lakini kutulindia likes zetu humu usiku wa leo?