Makapuku Forum

Sorry na pole sana ....kiujumla hii hali ni Genetic Disorder au kwa kifupi ni ya kurithi ....ata kama kwenye familia inatokea mmoja anakuwa nayo wengine hawana ni jambo la kawaida na ni kurithi ...yawezekana mzazi mmoja akawa na gens za hii hali ila kwake haikumtokea kimuonekano ...na huyo mzazi milele huwezi kuhisi kama ana pumu ila mambo ya Rhesus factor hasa kwa mtoto mmojawapo ndo inatokea hii hali inajiexpress ....

Pole sana
 
Wazza asepe tu
Halafu saa 12 ni
Tz v Zambia
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…